Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 756
- 696
Ambiele,
Wopage n`gefu mutwa.
Wopage n`gefu mutwa.
IRINGA
Neno IRINGA asili yake ni lilinga,yaani NGOME ya kivita.
Neno Wahehe lina asili ya WAR CRY ( He he he) ni sauti walizokuwa wanatoa askari wa Chief Mkwawa wanaporusha mikuki na mishale dhidi ya maadui zao.
LUGALO
Neno LUGALO si la dsm ni la milima ya Lugalo iliyopo lundamatwe karibu na ilula .NI SEHEMU AMBAYO WAHEHE WALI LAY SUCCESSFULLY AMBUSH DHIDI YA KIKOSI( BATALLION) YA KIJERUMANI ILIYOKUWA IKIONGOXWA NA LUTEN VON ZELEWISK,Ambapo kikosi hicho kiliteketezwa chote isipokuwa askari wawili Garrison waliokuwa nyuma hawakuingia ktk ambush.
Sifa kubwa ya wahehe
1.Ni wavumilivu sana,nadhani ndio sababu hata makabila mengi hukimbilia kuoa hili kabila.
2.Hufanya kazi kwa bidii ila hapendi kusimamiwa.
3.Ni wenye ukarimu.
4.Hapendi kunyanyaswa ,japo wanaheshima sana.
5. Wana upendo mkubwa kwa binadamu wenzao
6. Wanaongoza kwa misimamo mikali bila jazba.
7. Waaminifu sana.
8. Wanatunza sana siri zao binafsi na wanazoagizwa kuzitunza.
Sifa ya mhehe unapomkasirisha atahakikisha amekumaliza kabla ya yeye pia kujimaliza mwenyewe na kutotaka kubughudhiwa. WEKA MBALI NA WATOTO
Asili halisi ya watu wa Iringa ni wahehe waitwao wasungwa Hawa walikuewpo toka siku cku nyingi na ndio wazawa.Wahehe wengine wanatokana na wanitole na wahabesh hasa wa maeneo ya kalenga.
Nimeona leo tukumbushane kidogo kahistoria .
Hapo umeniacha mbali sanaAmbiele,
Wopage n`gefu mutwa.
Bado wanajinyonga...IRINGA

Uwulo nano ndiwona mkwiyidza nyevanya kumwi lunogage ulukani ulo.Bhe ulonzile lunofu.si wiga si da ndaah.
Masahihisho kidogo HEHE asili yake si "war cry", Hehe linatokana na Historia ndefu kidogo kuielezea yote hapa si rahisi. Pia hiyo ya wahabeshi ukweli ni kwamba ni Waarabu waliotokea Kilwa ambapo walifika Iringa wakitokea Morogoro wakiwa ni wawindaji, kutokana kwamba maeneo haya yalikuwa na Tembo wengi. Von Zelewesky hakuwa na cheo cha Luteni alikuwa "Major". Wajerumani walivamia Lilinga wakiwa na strength ya full infantry battalion lakini bila support weapons. Walivyorudi mara ya pili walisaidiwa na Mortars (ni kwa mara ya kwanza mortar kutumika Africa). Halafu ya kujinyonga au kujiua maelezo yake kwamba kijana wa kihehe ukisha kuwa mkubwa ulikuwa unachukuliwa na kwenda kuonyeshwa Eneo ambalo litakuwa ni makazi yako ya kudumu, lakini likiwa halijafanyiwa kazi yaani ni msitu na directive ilikuwa ulifanyie kazi mpaka iwe ni sehemu ambayo ni "habitable" kwako na familia yako LAKINI ukishindwa usirudi kabisa nyumbani na ulikuwa unabidhiwa kamba ujimalize mwenyewe kuliko kurudi kwenu. Kushindwa kulidhibiti eneo ilikuwa ni FEDHEHA KUBWA SANA. Hivyo kwa wahehe ni afadhali afe kuliko kufedheheshwa au kudhalilishwa. Kwa leo ni hayo tu nawasilisha.IRINGA
Neno IRINGA asili yake ni lilinga,yaani NGOME ya kivita.
Neno Wahehe lina asili ya WAR CRY ( He he he) ni sauti walizokuwa wanatoa askari wa Chief Mkwawa wanaporusha mikuki na mishale dhidi ya maadui zao.
LUGALO
Neno LUGALO si la dsm ni la milima ya Lugalo iliyopo lundamatwe karibu na ilula .NI SEHEMU AMBAYO WAHEHE WALI LAY SUCCESSFULLY AMBUSH DHIDI YA KIKOSI( BATALLION) YA KIJERUMANI ILIYOKUWA IKIONGOXWA NA LUTEN VON ZELEWISK,Ambapo kikosi hicho kiliteketezwa chote isipokuwa askari wawili Garrison waliokuwa nyuma hawakuingia ktk ambush.
Sifa kubwa ya wahehe
1.Ni wavumilivu sana,nadhani ndio sababu hata makabila mengi hukimbilia kuoa hili kabila.
2.Hufanya kazi kwa bidii ila hapendi kusimamiwa.
3.Ni wenye ukarimu.
4.Hapendi kunyanyaswa ,japo wanaheshima sana.
5. Wana upendo mkubwa kwa binadamu wenzao
6. Wanaongoza kwa misimamo mikali bila jazba.
7. Waaminifu sana.
8. Wanatunza sana siri zao binafsi na wanazoagizwa kuzitunza.
Sifa ya mhehe unapomkasirisha atahakikisha amekumaliza kabla ya yeye pia kujimaliza mwenyewe na kutotaka kubughudhiwa. WEKA MBALI NA WATOTO
Asili halisi ya watu wa Iringa ni wahehe waitwao wasungwa Hawa walikuewpo toka siku cku nyingi na ndio wazawa.Wahehe wengine wanatokana na wanitole na wahabesh hasa wa maeneo ya kalenga.
Nimeona leo tukumbushane kidogo kahistoria .
Ale muyamwe ngukagweHahahaha ndilibaha ndimgaya sida nene
Ale mnyalukolo, gendelage uludeke, ulukafu luladenyeka...IRINGA

Ndahiyo we wali vayaUlonzile mmwene mwagito... Kugaya lukani lungi ndaaa
Kujinyonga sio mila bali ilitokea tu kwa ajaili ya aibu ya kukamatwa na wale wakoloni wea kijerumani. Ila sasa hivi kila mtu akiwa na hasira uamuzi wa busara anaona ni kujiua tu bila kujali kabila maana siku hizi mpaka wachaga na wazaramo wanajinyonga sana tu.Na vp kuhusu historia ya kujinyonga