Kuna mtangazaji fulan wa chanel 10 alikuwa anasoma magazet ilipofika zamu ya magazeti ya kingereza yan alichemka mpaka nikawa naona mimi aibu yan kale kafupi kalipataga ajali cku zilizopita
Chanzo kikubwa cha ndoa zetu kuto dumu ni wamama wakwe zetu fanya tafiti kwa ndoa ambazo wamama wakwe wametangulia mbele za haki utakuta zko poa na wake wanakua na adabu na waume zao mdau.
Mdau na mimi yalinikuta hayo tangia mwezi wa 4 mwanzoni afadhali ndio napata sasa na nilishaomba ushauri hapa hyo hali nafikiri inataka kuanza kuenea kwa watu mbalimbali coz na mimi nilimaliza vipimo karibia vyote katika hospitari karibia zote kubwa za hapa dar ikashindikana ila kwa sasa...
Sawa mdau ila naamin hayajakukuta ww ndio maana ukaandika uzi huu ila siku moja utakuja kujua umuhimu wao pia sio waganga wote matapeli kuna wengine wana karama zao kama unavyowaona wachungaji kikubwa ni iman tu angalia vizuri zile pete wanazovaaga viongozi wetu wakuu na baadhi ya watu, rejea...
Mdau kama uko dar nakushauri nenda pale waterfront kuna jamaa mlinzi kampuni ya eagle kama sikosei analinda huu upande wa parking za bm wa crdb mweusi hv jicho lake moja bovu yeye ndo anawafahamu hao vyura vilivo coz ndo alikuwa anawatunza pale sua mkataba wake uliivyoisha ndo kaajiriwa na hyo...
Tatizo cyo cm mdau tatizo ni network yan mitandao yote imekua magumashi siku hz vumilia tu ucje ukatapeliwa kwa ukazani simu ni mbovu manake na mimi natumia s4 na hyo 3g haisomi
Hapana mdau mimi niko serious na hyo hali nilio nayo kila ninaemweleza anashindwa kunielewa coz siumwi sehem yeyote ya mwili ni uchovu tu usioisha na mara nyingine kuishiwa nguvu sababu ya kutapika na ku loose apetite
Yan mdau hatuwezi kukaa sehem moja muda mrefu either tutazinguana au atanibore tu yan cjui hii hali itaisha lini jaman starehe zote kwisha yan ni unyonge usioisha aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.