Recent content by Kikuyumbo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mbona mnamwacha mpiga pembe za ndovu wetu Kinana. Huyo ndo wa kupeleka jela kesho. Team Mkwere wameharibu nchi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Kwani alipokuwa ccm hakuwa na hayo mashamba?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Mahakama kufunguliwa MwanaHalisi

    Muda muafaka
  4. K

    JamiiForums Tanzania Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

    Jk alianguka jangwani, akaponea Ikulu. Tezi dume ametibiwa akiwa ikulu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA, Mkicheka na Nyani Mtavuna Mabua,.!

    Umenena mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Amenena vema
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Hivi yule mhindi aliyekamatwa na bilioni moja kule dodoma yuko wapi? Na zile pesa zilienda wapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wametutukana watanzania, Lowassa anatudhihaki wananchi

    Mbona husemi yule mhindi aliyekamatwa dodoma na mabilioni, zilikuwa zinaenda wapi? Na zimeenda wapi? Ndorooooooobo mkubwa, hebu kula senene ujiharishie huko.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Mbona Nyerere hajawahi kuvaa yebo yebo za ccm!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marais wastaafu waombwa kumsaidia Magufuli!

    Mkapa anaogopa yaliyomkuta arumeru.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli unaomuhusu Lowassa, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Seif na Mbowe

    Hivi Tambwe bado yupo ndani ccm? Hahaaa! Ndo kazi yake hii.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

    Hata riz1 na kikwete wapo ccm kwa maslahi yao. Ongezea na Nape, mwasisi wa CCJ.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge, akiri kupokea TSh 1.6 bilioni

    Chenge ndiye aliyeandika katiba ya ccm
  14. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Ninachokijua juu ya Lipumba ni kwamba anekuwa akipata mgao kutoka ccm kwa kudumaza upinzani, sasa wana cuf wameshtuka anaanza kulaumu ukawa. Kuna uhusiano gani kati ya uenyekiti ndani ya cuf na ukawa? Kwani Lowasa ameingia ukawa kupitia cuf? Hahaaaaa! Aende akalipe deni la magamba, yy alijua...
Back
Top Bottom