Recent content by kikurunge

  1. kikurunge

    Kuna ongezeko kubwa la watu mahakamani

    Waache wasongamane huko ili akili ziwakae sawa
  2. kikurunge

    Kinachoikuta Yanga leo kuikuta pia Simba

    Wamejichimbia kaburi lao na wakajifukia wenyewe
  3. kikurunge

    Asasi mbalimbali za kiraia Duniani zamwandikia barua Magufuli kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu Tanzania

    Mtamtetea sana ila nashukuru kila kinachopangwa kinatafuna pande zote mwisho wa siku tutaimba nyimbo zinazo fanana.
  4. kikurunge

    Asasi mbalimbali za kiraia Duniani zamwandikia barua Magufuli kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu Tanzania

    Nilicho gundua ni kuwa jiwe ana roho ya mauti. Vyote alivyovikuta na alivyovianzisha vitakufa kabla ya yeye kuondoka pale ukuta mweupe. Ni mda pekee wa kusubiri
  5. kikurunge

    MAKONDA LIVE:-

    Lile zoezi la tezi naniliiiiii ndio ana zindua Leo?
  6. kikurunge

    Baada ya hili la CEO wa Vodacom Tanzania, Sylvia Mulinge Serikali iliangalie na hili

    Mkuu watanzania bado sana! Sasa tusubiri huyo mtanzania atakaye chukua hiyo nafasi
  7. kikurunge

    Msaada: Nimetuma video za ngono kwenye group la WhatsApp la familia

    Kabaridi kamekupata itisha kwa jaketi,jifanye umesahau kama ni group la familia na ujifanye kama umetuma kwenye group la washikaji then waulize kuwa "masela ehee" mmepata hiyo kitu?
  8. kikurunge

    Harufu ya mchezo mchafu kwenye zoezi lililoanzishwa na RC Makonda

    Mwaka Jana kwenye Bunge la Bajeti uliletwa upuuzi wa madawa ya kulevya,mwisho wa mchezo ikawa sufuri. Mwaka huu kwenye bunge kama hilo umeletwa mchezo wa wanawake waliotelekezewa watoto na mleta upupu ni yule yule. Kutokana na Nchi inavoendeshwa kama mteule wake anaona huyu pimbi...
  9. kikurunge

    Paul Makonda na watoto "feki" akwama, aliyesema mtoto wa Lowassa faili lake laanikwa ni kada wa CCM

    Huyo Dada sio Mtoto wa Lowassa Kwa watu tuliosomea kuangalia picha tumegundua hilo labda Kwa wenye macho makengeza mtaendelea kuamini hivyo.
  10. kikurunge

    Kutoka Uhamiaji: Askofu Kakobe asisitiza yeye ni mtanzania. Ang'aka watu wa Kigoma tu kuhojiwa kuhusu uraia

    Ivi huyu mkulu wa kwetu ni raia wa Tanzania kweli,Mimi nadhani uhamiaji wangeanza na huyu bwana Atuletee au atuonyeshe makaburi ya babu Yake na babu yake upande wa baba na mama pia.Hakika nawaambieni mtakuta ni mhutu au mtusi
Back
Top Bottom