figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,957
- 63,767
Habari wakuu,
Hivi hii inatokea bahati mbaya au makusudi?
Kwani wanawake hamjui wanaume wana tamaa za mwili?
Mwanamke ukifanya naye ngono anajua unampenda na tayari wewe ndo mume, mchumba laaziz mahabuba. Nani kakudanganya? Kumbuka wanaume wanatamaa, kama amekutamani na ukamkata kiu baada ya hapo anajuta kwanini katembea na wewe. Yaani mngejua wanaume wanavyojisikia baada ya tukio mngekaa chini mlie. Kwanza kama mwanaume kakutaka kwa ngono akishamaliza anajilaumu sana.. anakuwa na mawazo sana. Kukutafuta tena hadi awe na nyege.
Unakuta mtu anabeba mimba kabisa na kujitapa nimepata mume kisa ti kafanya naye ngono.
Wanaume wanatambua ngono wanatambua mapenzi pia.
Mwanaume ananunua ngono lakini hanunui penzi hata siku moja. Upendo hauna thamani na haununuliki.
Wanaume wanaheshima, adabu utii na unyenyekevu kwa wapenzi wao. Vilevile wanaume wana uongo na ushawishi kwa wanaofanya nao ngono.
Siku ya kukuacha anakuambia hukunipenda ulipenda hela yangu. Nlikuwa nakohonga. So mwanaume kukuhonga sio kwaajili ya Penzi bali kwaajili ya ngono.
Ndo maana mwanaume baada ya tendo hata kama kafulia vipi lazima akupe chochote sababu anajua kakutumia kama burdani.
Waulize wanawake walioolewa kama wanapewa chochote baada ya tendo. Hawapewi sababu ni wapenzi wao na kupewa hela sio hadi wafanye ngono sababu mke anajua mahitaji ya mume na mume anajua mahitaji ya mke.
Wanawake wajanja hutumia ngono kushawishi na kuamsha Pendo kwa mwanaume. Yaani wanatumia hiyo nafasi ya kufanya ngono kumuonesha mwanaume umuhimu wa mwanamke na ni jinsi gani walivyotofauti na wanawake wengine mwishowe huvutiwa na kukifanya mpenzi.
Hakuna mwanaume penda penda. Wanaume ni Washerati na wazinzi. Hawapendi hovyo.
Kila mwanaume anaye mke mmoja anayempenda sana.. Wengine ni kutimiza tamaa za mwili tu.
Jifunze na uamini. Mia