Recent content by KIKUBIJI

  1. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

    Kweli DUNIA UWANJA WA FUJO Mungu ampumzishe kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

    Uwezi---Huwezi Hawe--Awe Nyinyi wahaya mnatuhalibia sana lugha yetu adhimu.
  3. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Inasemekana hii ndiyo orodha ya viongozi waliothibitisha kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

    Kuna sehemu inaitwa sinza mugabe sijui anamjengo huko
  4. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Balozi Emmnauel Nchimbi: Hata ningepewa Urais kwa miaka 40 nisingeweza kufanya haya aliyofanya Rais Magufuli

    Huyu nae kichwa kikubwa akili za chekechea
  5. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Nyegezi Mwanza kulazimishwa Kubaki Nyegezi Badala Ya Kuhamishiwa Usagara "Ni Kosa Jingine la Mipango Miji na Siasa"

    Mawazo mgando ni hayo uliyonayo unadhani kutoka igombe au kisesa mpaka usagara ni parefu sana,fikilia mtu anatoka kigamboni mpaka ubungo na anawahi mabasi ya mkoani na bado stand mpya inajengwa mbezi ,au una fikilia kutembea kwa miguu kwenda stand,nyie wasukuma bwana!
  6. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Nyegezi Mwanza kulazimishwa Kubaki Nyegezi Badala Ya Kuhamishiwa Usagara "Ni Kosa Jingine la Mipango Miji na Siasa"

    Ki jiografia jiji la mwanza linakua kwa kasi hivyo stand kuu inatakiwa iwe usagara na kwa sababu alizozitoa mleta Uzi huu
  7. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Hali ya utaifa inatisha

    Haya yote yanasababishwa na MTU mmoja tu kujifanya anajua kila kitu na kutesa watu,fikilia mtu kama lisu kapigwa risasi mchana kweupe,ila yeye hataki hata watuwaende kumuona,bado yuko kwenye matibabu unamdhulum ubunge, Leo wanatutaka tuwe wazalendo hicho ni kitu kisichowezekana
  8. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Je, kiswahili ni lugha itakayotuletea tija kwa dunia ya sasa?

    Hili Mimi ndio huwa naona kosa kubwa sana alilolifanya Mwl nyerere kutuchagulia lugha ya uswahili uswahili hii ni lugha ya kijinga kabisa
  9. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Itifaki kwenye hotuba za Ramaphosa na Magufuli Ikulu Tanzania

    Mnazungusha mno maneno jibu ni kwamba jiwe hajui kuongea kiinglish full stop.
  10. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Kwa watizama mbali, Bashe ni nani kwa sasa?

    Mbunge Wa nzige ndio naibu waziri Wa kilimo,si atakula mazao yote sasa. nzige zisikie tu.
  11. KIKUBIJI

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Wananchi wa Geita vijijini wameshanibariki niwe mbunge wa kudumu jimboni kwetu

    Ukiona watu wanaongozwa na mbumbumbu,jua kwamba wao ndio wajinga,wala sio kosa lake Huyo musukuma
Back
Top Bottom