samesame
Senior Member
- Jul 21, 2019
- 143
- 324
Kwa wale wenzangu wasiotumia mihemko njooni tujadili kidogo mwelekeo wa siasa za kijana mwenzetu Bashe mbunge wa nzega na naibu wa waziri wa kilimo.
Wengi wanadhani bashe kaula baada ya press conference ya juzi pale alipoonekana kuwa upande wa musiba na kuwaponda akina Kinana.Binafsi nasema si kweli. Pale alikua anajitambulisha kwetu upande aliko kwa sasa. Siasa hazikosi makundi na kwa sasa kaingia kundi la mzee wa chato.
Je, kaingia lini?
Mwanzo kabisa wa kungia na pale rasmi Rostam Azizi alipoingia kwenye kambi ya mzee wa Chato na akamfanyia usajili wa kumleta Lowassa.
Kwanini nasema hivo ni kwa vile bashe ni kijana wa Rostam na Lowasaa. na kwa sasa anamtumikia Rostam Azizi. Mzee Lowasaa amekwisha zake analea wajukuu. Ila kwa Rostam Azizi ndio kwaaaaaanza anaanza rasmi siasa za bongo na kwa sasa sio yeye kuingia front bali kutumia vibaraka wake na Bashe katangulizwa wengi wataingia.
Kwanini vijana wake waingie katika baraza la mawaziri ni kwa vile sasa anaenda kufanya kazi na Serikali hivyo basi lazma awe na watu wa kuangalia maslahi yake ndani ya nyumba.
Rostam hajarudi Serikali kishamba ni kimkakati kati yake na mzee wa chato. kwa sasa ndiye partner wa mzee wa chato. wafanya biashara wakubwa pesa walizo nazo sio za kwao peke yao nyingi huwatunzia viongozi wa kisiasa.
Mtamkumbuka mzee wa msoga na Gsm Group! hivyo biashara nyingi zinazofunguliwa kwa sasa za Rostam sio zake mwenyewe. Yes hela anazo nyingi na ndio rahis kutunza hela nyingi toka kusiko julikana. Utajuaje kwamba sio zake? Akina sisi ukipewa tuu billion moja itajulikana tuu maana nilizoea hela za maandazi.
Hitimisho langu ni kwamba tumtarajie Bashite mpya naye ni Bashe mjenga hoja wa zamani na sasa atakua mpiga meza na mzee wa ndio. Ndio tushampoteza tayari.
Aaa nilisahau kidooogo. ile press conference alitumwa na hao hao Rostam na lowasaa akipewa baraka na mzee wa chato kulipiza walivyokuwa wanatukanwa na Nape enzi zile za mafisadi papa mapacha watatu.
Nape naye akiwa kijana wa mzee wa msoga na kinana. Huku Bashe akiwa mfanyakazi wa Rostam Azizi akiangalia tuu ila hakua na nguvu kufanya chochote sasa kapewa Rungu.
Yaan CCM ndio kwanza makundi yanaanza upyaaaaaaaaaaaaaaaa!!!