Idhaa ya Kiswahili ya BBC Swahili inapenda kuwaalika wazungumzaji wote wa Kiswahili watokao Afrika Mashariki katika mdahalo wa " Vipi Waafrika wanavyokaribishwa UK"
Mdahalo huo ambao unategemewa kufanyika katika mji wa Slough tarehe 28 mwezi huu wa Novemba kuanzia saa Kumi na 11 na nusu za...
TAMKO LA WAZIRI KIVULI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. VINCENT JOSEPHAT NYERERE (MB) KUHUSU UDHAIFU WA SERIKALI KATIKA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MADAWA YA KULEVYA NCHINI.
Ndugu wanahabari, kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa kuitikia wito wangu, ili niweze kuzungumza na watanzania kupitia...
Ni kweli Agnes kakamtwa na kuna mtu wake wakaribu ndo anatumia simu yake kupumbaza watu. Hata hivyo police huku sauz wana njaa ukiwapa hela wanakuruhusu utumie simu. Subirini mkanda mzima unakuja soon. Rummly, Kinje na wengine mnajijua mnaponza watoto wa watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.