Recent content by kikore255

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

    Tumia akili kuwaza vizuri ,mosi hivi unaweza kutupa idadi ya watu waliohuzuria na uwiano wa wananchi ya mtwara kwa ujumla ? Pili je population ya watanzania wengi masikini wa kutupwa wanapatikana wengi mijini au vijijinii?? Tatu je chama chenu na serikali yake wanajiita watu wanaotetea...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bangi, Mmea wenye faida nyingi unaopigwa vita na Wababiloni!

    Hahaa naelewa baba ,anyways we could cache up sometimes kama upo bongo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bangi, Mmea wenye faida nyingi unaopigwa vita na Wababiloni!

    Hapa yenyewe nakinyonya ukank kitu kidogo tuu unajisikia fresh kabisa..Hii kitu ni dawa kubwa sana ,Mimi kijijini kwetu ni daya ya kukausha vidonga maji yake ikiwa mbichi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bangi, Mmea wenye faida nyingi unaopigwa vita na Wababiloni!

    Master hii ni kweli kabisaa yani wamepita mule mulee ,serikali wasiishie kuangalia mateja afu waseme ni mabangi ,hakuna weed inayoweza mfanya mtu teja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    OK dear I can understand ,allow me to hit your PM ,if it may pleases you!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Hapana sijawahi kuomba kazi kwao ,hiyo ni kampuni nyingine sasa ndio nashangaa wana interview watu afu badae hawaajiri mtu maana yake nini ?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Mkuu unaweza tusaidia kujua hayo maswali ili tuone jinsi alivyokufanyia ndivyo sivyo na kwa ajili ya kujifunza pia ?please you can share with us if you won't mind ,let's care for each other and we can start by sharing !Asante
  8. K

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Hii noma ishanikuta tumeenda kufanya final interview tupo watano na nafasi zilizokuwa zinagombaniwa niliambiwa ni hizo hizo 5 ,sema mimi nikawaambia sitoweza kwa mshahara wao ,cha ajabu hadi wale jamaa wengine nao hawakuitwa hadi Leo tangia sijui mwezi wa 3 ule [emoji848] sasa nawaza kama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jesca kwanini hukuniambia kama una jinsia mbili?

    duu masikinii aisee kweli dunia inamengi,naamini mkuu ulimsaidia kwa namna yoyote ile kumpa maneno yakumpa moyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hizi sehemu haziepukiki hasa kwetu wanaume, hata uwe mwema utafika tu..!

    Haha nakumbuka mwaka mmoja tulipiga deal moja hivi ikakosewa kidogo ,tukajikuta wazee wametuzuia ,aisee hiyo ndio ilikiwa mara yangu ya kwanza ,afu tulikuwa bado kwenye mizunguko ya job ,huku boss anapiga cm kama zote nikasema kuliko kulala ndanii pananuka mikojo na pana unyevu unyevu kabisa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kufungwa maduka ya kubadilisha fedha madhara yaanza kuonekana

    Mkuu umeongea point kitakachofanyika ni watu kuanzisha biashara za kubadilisha fedha kinyemela na bado serikali itazidi kupoteza
  12. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    Wewe siutujuze hayo unayoyafaham sasa ,kama yeye hajui?
  13. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI kwisha habari yake!

    [emoji3][emoji3][emoji3] daah mkuu Tanzania yetu hii
  14. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI kwisha habari yake!

    Hahaa how hii imenishangaza sana ?like seriously unaweza kunasa sehemu isipatikane kirahisi hadi uunge nayo miselee??[emoji3]
Back
Top Bottom