Recent content by kikokoteo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nikisuka sikai muda mrefu kichwa kinaniwasha tatizo litakuwa nini?

    Pga upara wako kama wa zidane alaf na zle bangili za masikion kama nakaaya utapendeza weee pc kali utakuja kunishukuru,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wana kilimo naomba kujua zao la dengu jinsi ya kulima kiasi cha mavuno na bei

    Duh! Pwan dengu ? coz inapenda sehemu enye unyevu na joto la wastani mm hata mwaka huu kweny mwez watano ndy naotesha wilaya ya monduli chini watu weng wanalima sana miez hyo mvua kubwa zmesha isha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wana kilimo naomba kujua zao la dengu jinsi ya kulima kiasi cha mavuno na bei

    Issue syo kulima, dengu inapenda sehemu enye unyevu wa wastani mvua kdogo je ww upo mkoa gan au unataka ukalime mkoa gan?
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

    😹😹😹
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Itapendeza sana mkuu kwa afya ya akili yako
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Jarbu kula lishe bora na pia punguza kufanya kaz kwa mda mrefu upate kupumzka na pia kama unawaza kunajambo linakusumbua muone daktar wa saikolojia hata kusauri zaidi
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    🤣🤣🤣 wanakuaga na zali ukaukiwi na chench alaf wanakupa furaha unakuwa unajiamin et mkuu
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Kuwa na asira ya maisha kama bdo upo kwa wazaz ondoka ukapange mtaa mwngne ili uwe na akili ya kusave pesa,kwann bs na kuambia ukapange ili uslale mwsho wa mwez unaitajka kulipa kod bili ya umeme maji, n.k alaf tafuta pc kali inayo jielewa inayo kupa changamoto ya maendeleo fungua akaunt au kuwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

    Ww fata yaliyo kuleta dunian hyo ya kuwaenz wafu dunia ya sasa ipo mbali haitaji ukfa umekufa maisha lazma yaendelee sawa ngosha?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa Mbweni na capripoint -Mwanza, mmeajiriwa wapi?

    🤣🤣🤣 sasa mkuu milion 30 ndy unaona kiwanja ni gali ebu tembea bhana hao n wakawaida hata muuza bamia ananunua hyo kiwanja akiwa sriaz
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

    Chukuwa chuma og timberland,teva, new balance, cat, Salomon sandals ss watu Waarusha ndy tunavaa izi mitumba bei n kwanzia 65000/ mpaka lak 35000/ syo unaenda kuvaa mtumba ya 5000/ et unasema kiatu mtumba og na unaishi nayo miaka ya kutosha
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu vya kufanya mwanamke akupende

    😹😹😹
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano upi kati ya wakulya na biashara ya nyama ( Butcher)?

    Labda dar njoo kaskazn Kilimanjaro wenye mabucha n wazawa yaan wachagga nenda Arusha wamiliki n wamaasai mkurya uku ajulikan kweny mabucha
Back
Top Bottom