Recent content by kikiboxer

  1. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi hachunguziki CCM

    Kifo chake kina uhusiano gani na Nchimbi?
  2. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?

    Aaah masai dada hata mimi nakutaka.
  3. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Nimesaka maandishi yote ya Nchimbi tokea 2007 kwenye Mitandano

    Hao ndugu nao ni washamba wanaingia kwenye kundi alilotaja Nyani Ngabu.
  4. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Yaani mtu atoke Dar mpaka morogoro kufuata kuku choma!?
  5. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Hamtakubali wewe na nani mkuu P? Wengine hatujui hata nini kinaendelea so hatuwezi kukubali wala kukataa.
  6. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania "Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

    Usiwaanini sana CCM wanaweza kufanya lolote ili kuendelea kula kodi zetu.
  7. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA ikifuatwa vizuri Lissu, Heche na Mnyika wanakosa uhalali wa kisheria kuendelea kuwa viongozi

    Wewe ndio Great thinker wa hapo Lumumba. Takataka kabisa.
  8. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Urusi na Ukraine imechukua miaka zaidi ya minne sababu ni hizi...

    Sasa kama ana washirika hao wawili maana yake hana washirika wanaoweza kumsupport waziwazi. Warusi kwa sasa ndio wanaanza kuonja ladha ya vita vyao walivyoanzisha Ukraine
  9. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Urusi na Ukraine imechukua miaka zaidi ya minne sababu ni hizi...

    Sasa huyo mleta uzi anajifanya hajui hilo. Na usidhani walimpa wanajeshi peke yake bila silaha.
  10. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Urusi na Ukraine imechukua miaka zaidi ya minne sababu ni hizi...

    Kwani urusi yeye hapokei misaada? Si alichukua askari wa North Korea?
  11. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Ila wadada mmh, ni wachafu sana

    Umepigwa kizembe sana 500k yako.
  12. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Bado hujachelewa.
  13. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Bado hujachelewa.
  14. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa bajeti ya laki 7 naweza pata gari gani hata kama kuu kuu

    Coco unatumia Ai?
Back
Top Bottom