"INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAJIUUN" kuna haja ya kuwa wavumilivu kwanza ili kupata taarifa ya hali ya afya ya sheikh ponda, kisha kupata taarifa ya kina toka kwa waliokuwa wakimtafuta ili wamfanye nini na kwa kosa gani? hata hivyo, sheikh ponda kama binadam yeyote ana haki ya kusikilizwa na...
jamani mbona hatujadili haya mambo kwa kutumia akili ya kuzaliwa na kujua angalau abc? mzee mtajwa ametajwa kuwa na kiasi cha hisa na wala yeye hausiki na utendaji wa kila siku wa kampuni husika, nadhani ingekuwa busara kwa wanajamii kuongelea udhaifu uliopo kwenye ukaguzi na utendaji wa...
kama kila anayetoa mawazo tofauti na yako basi afe, itakuwa tz haina mtu kwani hata wao wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana kiasi cha kuwaita wenzao wasaliti, wamenunuliwa na hata kuwaona kuwa hawafai katika nafasi fulani za uongozi kwa sababu tu wana mitizamo tofauti na yao. tusijifanye wote mpo...
kuna kauli zinatia hamasa ya kutaka mtu kusoma taarifa au kutoa maoni juu ya mada husika, ila kusema kuwa viongozi hawa wanaonekana hawawezi hata kuongoza familia zao ni tusi ambalo hatujazoea kutolewa hadharani kwa mtu tuliyempa mamlaka ya kutusimami, sasa wewe unayetoa kauli hizi tuna uhakika...
hata mimi namshangaa huyu jamaa kwani hata kule walikokomaa katika ugaidi sijasikia kwamba mmoja akitajwa kuhusika na jambo fulani awajibike na kutoshwa na kundi lake, tumeona hata OSAMA mpaka alipouawa na wamarekani ndio nafasi yake ilichukuliwa na mtu mwingine na sasa wanafanya shughuli zao...
Taifa letu sote, tonafanyaje kulikomboa? Tumekuwawatu wa kulaumiana sana kiasi kwamba hakuna suluhu ila kutaka mtu awajibike, sasa kila anayekosea awajibike atajirekebisha wakati gani? Narudia tena kila mmoja kama jamii atimize wajibu wake na tuone matokeo yake yatakuwaje.
Kuna shule moja ya...
Naunga mkono waziri kuondoka madarakani ili elimu yetu iboreshwe:
Ila je? Watoto wetu tunapowapa simu za mkononi zenye uwezo wa kuingia net na kufanya kazi za chat katika mitandao ya fb, twitter, watsup na huduma nyingine za internet tunaona ndio maisha bora na kwenda na wakati, ndio...
ukisoma historia za mitume waliopewa vitabu vitakatifu, taurat, zaburi, injili na furkan walikuwa kwanza wanahamasisha amani na utulivu katika maeneo yao ili kueneza neno takatifu.
kwetu sisi amani ni kitu muhimu kwanza bila kuangalia nani kafanya nini au nani kafanyiwa nini, kwani wapo...
hata kama dr. salim asipewe nafasi ya kugombea urais ila kwa safu kama hii ya cc na sekretariet ya ccm hakuna mashaka ya aina yoyote ile kwa kiongozi atakayekuwa pale juu analindwa na safu nzuri yenye kusheheni tani za busara na hekima.
ombi langu kwao sisimoko tufanyieni mazuri zaidi tujivunie...
tusubiri tuone kama dr. salim atapewa nafasi hiyo, kwangu mimi naona kuingie kwake kwenye nec na cc ni kuimarisha chama chao pande zote za tanzania hasa ikizingatiwa kuwa yeye ni mzanzibar hivyo wameweka makundi ya kuimarisha chama na kuweka uwiano mkubwa wa watu wenye sifa, angalia kundi la cc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.