Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

Mkuu DULLAH MSAVIVOR, Kama ikitokea ukatuambia wewe ni mwanaume; yaani una jinsia ya kiume na ikatokea ukavua nguo na kumbe tukaona kwa macho yetu kuwa kwa hakika una jinsia ya kike, yaani una uke na sii uume; je tuendelee kuamini unachotuambia au tusadiki tunachokiona katika mwili wako mwenyewe?

Hizo propaganda zenu hazisaidii kitu tena; Islam is just evil, period! And it is not me judging so but it is what we repeatedly witness with our naked eyes!

Ni mtazamo wako ndugu...
 
Unawaita waislam kwa kuwa wanaonekana wana majina yenye kuakisi iman ya kiislam?
Tunarudi pale pale,kuna waislam majina na kuna waislam waumin,ungeniambia kuwa hao ni waumini haswa wa dini ya kiislam,ila kama ni watu wamefanya uhalifu then wanaonekana kwa majina ni watu wa asili fulani hukoni kunyoosheana vidole tunakosema,
unataka uniaminishe ya kwamba ukristo unahubiri ushoga na ulawiti kwa vitendo vya baadhi ya makasisi wanaotoka kwenye iman hiyo??

nashindwa kuendeleza mjadala na wewe kwa sababu maneno niliyo nayo kuhusu uwezo wako wa kufikiri si mazuri kuyatamka. endelea kujibishana na wengine.
 
Huo si uhalisia..
Mimi sipendi sana kujadili dini kwa namna ambayo inaweza kumkwaza mtu, lakini unaposema kuwa hao wote wanofanya maovu, al qaeda, al shaabab, waasi wa mali, uamsho, boko haram nk wanatumia tu dini ya kiislamu vibaya ili kuhalalisha maovu yao, ni lazima tujiulize;

Kwa nini iwe uislamu tu?, kama kigezo ni kutumia tu dini kuhalalisha maovu kwa nini wasitumie na ukristo?
 
unataka kuniambia hujui maana ya crusade war?
je imani yako inaruhusu vita?
na mambo mengine ya uovu wanayotumia watu kwa kigezo cha imani ya kikristo mbona yapo mengi?
 
nashindwa kuendeleza mjadala na wewe kwa sababu maneno niliyo nayo kuhusu uwezo wako wa kufikiri si mazuri kuyatamka. endelea kujibishana na wengine.

unashindwa kuendeleza mjadala kutokana na meneno uliyonayo kuhusu uwezo wangu wa kufikiri??
maneno hayo yanahusiana vipi sasa na uwezo wangu wa kufikiri?
unataka kuzungumza hoja au kunishambulia mimi?
 
Naomba urudie,
mimi sijaona sehemu ulipolijibu hili,labda sikukuzingatia vyema
Kwa kifupi sana, hao unaosema wanalawiti nk, hawajawahi sema kuwa kwa kufanya hivyo wanamtumikia mungu,
Lakini ukiwauliza boko haramu watakujibu kuwa wanafanya hivyo kwa mujibu wa Qurani na kwamba kwa kuua watu(makafiri)wamejihakikishia pepo(halafu DULLAH usijifanye hujui).
 
ukisoma historia za mitume waliopewa vitabu vitakatifu, taurat, zaburi, injili na furkan walikuwa kwanza wanahamasisha amani na utulivu katika maeneo yao ili kueneza neno takatifu.
kwetu sisi amani ni kitu muhimu kwanza bila kuangalia nani kafanya nini au nani kafanyiwa nini, kwani wapo waliouawa kwa kupigwa risasi za polisi, wapo waliomwagiwa tindikali, wapo waliochomewa nyumba za ibada, wapo waliofungwa magerezani kwa matukio yanayofungamana na dini na wapo waliouawa kwa imani kuwa wameuawa na watu wa dini fulani.
imani yangu kwamba uhalifu hauna dini, rangi, kabila, ukoo na utaifa, jambo muhimu hapa ni kuhakikisha kuwa hali ya amani na utulivu uliokuwepo tangu enzi na karne uendelee na kuendelezwa kwa hali yoyote.
hata hivyo, wale wenye madai na mahitajio fulani katika jamii wafikiriwe na kuzingatiwa kuwa kama sehemu ya jamii ambayo pia inahitaji mahitajio hayo ili nayo iishi kwa amani na utulivu katika jamii yao ya wote, lakini kitendo cha mtu kuanza kuwashutumu akina fulani ndio watenda makosa makubwa dhidi ya wenzao nani amethibitisha vitendo hivyo!!
NINACHOSEMA HAPA NI KWAMBA HII NI JAMII YETU WOTE AMBAYO INAHITAJI HALI YA UTULIVU ILI KUENDELEZA YALE AMBAYO SERIKALI INAPANGA KUYATEKELEZA BILA KUANGALIA MAMBO MENGINE AMBAYO JAMII YENYEWE INGEKUWA NA NAFASI YA KUYAREKEBISHA. WATANZANIA WENZANGU HEBU TUIPE SERIKALI ITEKELEZE KAI YAKE NA KUWAPATA WALE WOTE WANAOHUSIKA NA UHALIFU UNAOENDELEA SASA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA KWA LENGO LA KUDHIBITI NA KUKOMESHA HAYA YANAYOFANYIKA SASA.
KAMA NI UGAIDI SHERIA ZA KUPAMBANA NAO PIA UPO, KAMA VIKUNDI VYA WAHALIFU WADOGODOGO PIA SHERIA IPO NA ITAFANYA KAZI YAKE NA KAMA NI VURUGU ZA KIIMANI BASI IANGALIWE IMANI GANI MPYA IMEINGIA NCHINI? ILA UKISEMA KUWA NI MAFUNDISHO KAMA YALIVYOKUWA YA AKINA OSAMA UNA TUPA TABU KUFIKIRI KWAMBA HUENDA WATU WA NJE WAMEINGIA KUTUYUMBISHA NCHINI KWANI HISTORIA INASEMA KUWA OSAMA ALIFUNDISHWA NA TAIFA MOJA LA NJE ILI KUWAVURUGA WALE WALIOKUWA WANAWATAKA WAVURUGIKIWE NA KUWATAWALA.

KWANGU MIMI, USALAMA WA NCHI YETU KWANZA, DINI, VYAMA NA MAKUNDI MENGINE YA KIJAMII BAADAYE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Sasa mkuu mbona unataka kunifanya niache kujadiliana nawewe?
huonikwamba unaongea mambo yasiyo na uhalisia?
kwan hao makasisi wanaofunisha ndoa za jinsia moja kanisani wanasimama katika upande gani?si wanafungia kanisani ili kuaminisha umma wa ulimwengu ya kwamba kwa mujibu wa iman ya kikristo hilo ni ruksa na wanastahili kufanya hivyo?
na si kweli kwamba boko haram wanapofanya maasi yao huwa wanasema uislam unawaamrisha ivo,wao wana sababu zao husika na mahsusi zinazowafanya waaamue kufnya maasi hayo..
 
unataka kuniambia hujui maana ya crusade war?
je imani yako inaruhusu vita?
na mambo mengine ya uovu wanayotumia watu kwa kigezo cha imani ya kikristo mbona yapo mengi?
Kimsingi mpaka hapa nilipo nina umri mkubwa, hiyo crasade war huwa naisikia kutoka kwa waislamu kama wewe, haijaandikwa sehemu yeyote kwenye biblia na katika mafunzo yangu yote ya ukristo sijawahi kuambiwa kitu kama hicho, naomba tusaidiane,
Ni nini hicho, kilitokea wapi na lini?
 
Sawa sawa kabisa,tunashangaa leo wanakuja kusema osama anafanya yale kwa mujibu wa uislam,
osama kafunzwa mbinu zote za kivita na marekani kwa makubaliano yao maalum hilo lipo wazi na wala si la kificho,marekani ni chi isiyo amini ktk ideology za kiislam kwa kias kikubwa,waliposhindwa kufikia nae muafaka wakaamua kumtangaza ni gaidi na uislam ndio umemtuma kuyafnya hayo,wapi na wapi sasa?
yaliyotokea zanzibar ya mauaji waliofanya hawajafahamika hadi sasa lakin ajabu watu washaanza kutunyooshea vidole waislam,kwan kuna nini dhidi yetu??
 
Kimsingi mpaka hapa nilipo nina umri mkubwa, hiyo crasade war huwa naisikia kutoka kwa waislamu kama wewe, haijaandikwa sehemu yeyote kwenye biblia na katika mafunzo yangu yote ya ukristo sijawahi kuambiwa kitu kama hicho, naomba tusaidiane,
Ni nini hicho, kilitokea wapi na lini?

fuatilia kuanguka kwa ottoman empire na kusimikwa kwa roman empire,mkuu jaribu basi hata kugoogle.vitu vipo mtandaoni sasa..
 
Sasa mkuu mbona unataka kunifanya niache kujadiliana nawewe?
huonikwamba unaongea mambo yasiyo na uhalisia?
kwan hao makasisi wanaofunisha ndoa za jinsia moja kanisani wanasimama katika upande gani?si wanafungia kanisani ili kuaminisha umma wa ulimwengu ya kwamba kwa mujibu wa iman ya kikristo hilo ni ruksa na wanastahili kufanya hivyo?
na si kweli kwamba boko haram wanapofanya maasi yao huwa wanasema uislam unawaamrisha ivo,wao wana sababu zao husika na mahsusi zinazowafanya waaamue kufnya maasi hayo..
Duu, wewe jamaa ni mbishi, kanisa gani wamefungisha ndoa ya jinsia moja?
Siamini kama uko siriazi ktk ishu za makundi ya kigaidi, hivi hujiulizi kwa nini yanaitwa makundi ya kiislamu, hapo awali ulikubali kuwa uamsho wanatumia dini ili kudai zanzibar, sasa hivi unakataa tena kwamba makundi kama hayo hayajitambulishi kwamba ni uislamu,
Now which is which?
 
Mimi nahis hatutaelewana,,
basi tufanye yaishe,sisi sote ni ndugu..
 
fuatilia kuanguka kwa ottoman empire na kusimikwa kwa roman empire,mkuu jaribu basi hata kugoogle.vitu vipo mtandaoni sasa..
Kitu ambacho ninajifunza hapa ni kwamba mnajua kabisa kwamba vitendo kama kuua ni dhambi, hivyo mnafanya mkijua, basi nawashauri muwaambie hata wenzenu wanaojifanya hawajui kama wale waliochinja mchungaji kule geita kwamba zawadi ya bikra 72 kwa sababu ya kuua ni uwongo, adhabu yake ni jehanamu, muwaambie na wanaojitoa mhanga huko uarabuni kuwa hayo sio maagizo ya Mungu bali ni ya yule muovu, Mungu amekataza kujiua au kujiua ili uue wenzio(kujilipua) Hapo dullah si ko pamoja au?
 
JOSEPH KONE anafanya mauaji kila siku na kutumia watoto wadogo kivita ikiwemo na kuwabaka wanawake kila siku,
anasema anapigania kusimamisha amri kumi za mungu,je biblia inafundisha ivo?
nadhan tukienda kwa mifano hii nahisi tutaelewana kiaina.
 
Duu, wewe jamaa ni mbishi, kanisa gani wamefungisha ndoa ya jinsia moja?
Siamini kama uko siriazi ktk ishu za makundi ya kigaidi, hivi hujiulizi kwa nini yanaitwa makundi ya kiislamu, hapo awali ulikubali kuwa uamsho wanatumia dini ili kudai zanzibar, sasa hivi unakataa tena kwamba makundi kama hayo hayajitambulishi kwamba ni uislamu,
Now which is which?

kwaiyo ndio kusema hulijui au hujaskia hayo makanisa yanafungisha na kubariki ndoa za jinsia moja au umeamua kuziba macho na maskio ili usiufaham ukweli??
 
JOSEPH KONE anafanya mauaji kila siku na kutumia watoto wadogo kivita ikiwemo na kuwabaka wanawake kila siku,
anasema anapigania kusimamisha amri kumi za mungu,je biblia inafundisha ivo?
nadhan tukienda kwa mifano hii nahisi tutaelewana kiaina.
Yaani we jamaa, haya basi nimekosea kutumia mfano wa sehemu moja, wanaotumia dini kufanya mauaji kama uamsho na konyi ni mawakala wa shetani na kwamba uislamu na ukristo haviruhusu mauaji. hapo tumekubaliana au bado​ DULLAH MSAVIVOR?
 
Back
Top Bottom