Recent content by kijiichake

  1. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete akataa kuishi Msoga? Anataka kuishi wapi?

    http://jamiiforums.com/?ref=319348
  2. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete akataa kuishi Msoga? Anataka kuishi wapi?

    jamiiforums.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
  3. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

    we support Edward Lowassa hoyooooooo
  4. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

    Hivyi huku hakuna kura za maoni ya kipinajoto?
  5. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Mhe. Joseph Selasini na CHADEMA kuweni makini na huyu mtu

    Uto hana uwezo wala nafasi ccm mtalilia chooni mwaka huu bila selasini hakuna rombo
  6. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Mhe. Joseph Selasini na CHADEMA kuweni makini na huyu mtu

    Rombo selasini tosha
  7. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Hapana
  8. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Kikwete chukua hatua za haraka, yanayoendelea kiteto yasitokee rombo

    Katika hali inayoibua hisia za uchonganishi, Mkuu wa wilaya ya Rombo Bwana Elius Palangyo, amewaagiza viongozi na makada wa ccm kuzishusha bendera zote za Chadema zilizoko juu ya miti kila eneo la wilaya ya Rombo, alipo hojiwa kwa nini ametoa agizo hilo akajibu bendera zinatakiwa zitundikwe...
  9. kijiichake

    JamiiForums Tanzania TBC mmeniacha hoi kama sio kunishangaza!

    Asingesema hivyo Kungekuwa na kasoro gani?
  10. kijiichake

    JamiiForums Tanzania TBC mmeniacha hoi kama sio kunishangaza!

    Leo wakati kikwete anaongea na wazee wa ccm mkoa wadodoma amezungumzia mengi na kwa muda mrefu, ila kilichonishangaza na kunichekesha ni pale kikwete alipomaliza kuhutubia, akaitwa balozi wa miaka tisatisatisa lusinde ambae pia ni Mwenyekiti wa wazee vilaza hao wa Dodoma, ndipo TBC ikahamisha...
  11. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Jamaa amebaka mbwa hadi akafa mkoani kilimanjaro.

    Jamaa mmoja kwa jina limenitoka kidogo mkazi wa kata ya holili custom wilaya ya rombo ambae asili yake ni kutoka Lindi, ame m baka mmbwa hadi mbwa huyo akafa, jamaa huyo alikutwa na majirani akiwa amevaa condom huku dushe lake likiwa limezama uchini mwa mbwa huyo, akaripotiwa kituo cha holili...
  12. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

    Tarakea usiseme holili ndiko kwenyewe
  13. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

    Wananchi wa Rombo Ushiri ngome ya aliyekuwa waziri wa fedha Basil Pesambili Mramba wameizika rasmi CCM kwa vitendo. Wamesema wamechoshwa na chama cha mapanya.
  14. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Mrema awafukuza madiwani wawili waliomuunga mkono Mbatia

    Ukimwamsha aliye lala utalala wewe
  15. kijiichake

    JamiiForums Tanzania Mrema awafukuza madiwani wawili waliomuunga mkono Mbatia

    Ni wakati wako wakukubaliana na maamuzi magumu yetu wanavunjo.
Back
Top Bottom