Recent content by Kijibabu

  1. Kijibabu

    Kuna shule za English medium za serikali

    Mbeya kuna azimio, mkapa, magufuli, mwashinga & umoja
  2. Kijibabu

    Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

    Duh! Kumbe mimi ni choka mbaya, wewe jamaa umeanza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣. Kama unaamini mo alikua anafaidika kuidhamini simba late 90s na early 2000s basi wewe una matatizo. Kuita watu wajinga hakukufanyi uwe mwerevu.
  3. Kijibabu

    Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

    Mentality ya kimasikini ni kudhani kushabikia timu za nje ndio ujanja. Simba na yanga ni timu zenye mashabiki wengi sana ambao wanatoka kwenye makundi mbalimbali ya kijamii. Kama ni research basi umefeli maana sampling yako iko biased. Umechukua kundi la hohehahe kudraw conclusion yako. Watu...
  4. Kijibabu

    Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Nadhani anamaanisha kisaikolojia. Kurekodi na Kutunza mavideo yote hayo hauwezi kuwa sawa kiakili.
  5. Kijibabu

    Huyu Mwanasheria wa Yanga yupo kwa Maslahi ya nani?

    Mnamsingizia tuu huyo mwanasheria, Hersi alishazungumzia hivi vitu. Mchezaji ana madai halali na anaenda FIFA ili kukazia kulipwa. Hapo ni ishu ya yanga kulipa ambapo Hersi anasema lazima watalipa tuu hata kama ni kwa kuchelewa. Nyie mlitaka mwanasheria akatae kwamba timu haidaiwi? atoe hela...
  6. Kijibabu

    Mbeya haina hadhi ya Jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Mkuu, Mwanzo bajaj hazikuruhusiwa main road na mambo yalikua poa lakini sasa zimeruhusiwa ni vurugu tuu. Kuna routes nyingi sana ambazo hazihusishi main road. Tanzam road ziachiwe daladala pekee. Uwepo wa bajaj hizi 👇 route hauna afya 1- kabwe -iyunga 2- kabwe- mjini 3-kabwe- Uyole Mbeya ni...
  7. Kijibabu

    Mbeya haina hadhi ya Jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Upo sahihi sana mkuu. Niligundua kwa aina ya madiwani tunaochagua ni ngumu sana kuendelea, wana exposure ndogo sana. NHC walitaka wajenge mall pale lilipokua soko la uhindini lakini mradi ulikwamishwa na madiwani eti wanawalinda wajasiriamali wadogo. Wanawaza kujenga fremu tuu, pale city park...
  8. Kijibabu

    Mbeya haina hadhi ya Jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Shida ya Mbeya ni unplanned lakini kuzidiwa na hizo manispaa 2 bado sana. Iringa ni pazuri na napapenda, majengo yao makubwa yapo sehemu moja na panapendeza. Mbeya maghorofa yake yapo scattered, hawajengi eneo moja lakini kwa idadi ni mengi kuliko Iringa. Iringa kuna vyuo vikubwa 3 Rucu...
  9. Kijibabu

    Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Wapi nimesema sio tatizo?. Mechi imechelewa dakika 45, ni nyingi.
  10. Kijibabu

    Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mapungufu ya jana yanavyojadiliwa ni kama vile hakukua na kitu chochote positive. Ratiba ilionyesha mechi inaanza saa 2:30. Lazima watu wangetoka usiku tuu.
  11. Kijibabu

    Mbeya haina hadhi ya Jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Mi mpaka leo siamini kama mbeya kuna ofisi ya mipango miji. Kama ipo ni kazi gani wanafanya kama mitaa mipya iko vibaya kuliko ile ya 90s kurudi nyuma. Katikati ya mji unaweka barabara ya changarawe 🤣🤣🤣🤣. Ni kama uongozi umelala fofofo, na hauna mpango wa kuamka hivi karibuni.
  12. Kijibabu

    Baada ya Rais Samia Kufanikiwa Kuandika Upya Sera ya Elimu,Utekezaji Waanza.Shule Mpya za Amali Kujengwa.

    Naona hata MUST wanatoa kozi ya education upande wa engineering. Serikali ikipangilia vizuri huu mpango utakua mzuri
  13. Kijibabu

    Baada ya Rais Samia Kufanikiwa Kuandika Upya Sera ya Elimu,Utekezaji Waanza.Shule Mpya za Amali Kujengwa.

    Technical school zilikua na maana sana before 2000. Mama sitta alipoanza kuzifuta 2006 zikapoteza maana kabisa, tuliosoma kuanzia 2006 ni kama tulipoteza muda tuu. Bila kubadilisha mitaala na kuiwekea mkazo hiyo elimu itakua haina maana.
  14. Kijibabu

    Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

    Average height ya watanzania ni futi 5 inch 5. Halafu wewe unatafuta msichana wa futi 6, utakua na matatizo sio bure. Hata huko Rwanda average height haizidi futi 5 inch 7. Warefu wachache unaowaona kwenye tv na social media wasikuchanganye, sisi ni wafupi kiasili
  15. Kijibabu

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanafaulu sana. Je, ni bora kuliko nyie?

    Mi naona zamani vyuo vilikua vichache sana so watu wengi wakifaulu ilikua ni hatari kwa wizara, itawapeleka wapi?. So walikua na idadi fulani ya watu wanaotakiwa kufaulu ili wasije kuzidi idadi ya vyuo vilivyopo nchini. Walikua wanastandardize matokeo. Siku hizi vyuo ni vingi sana na...
Back
Top Bottom