Recent content by kijazi07

  1. kijazi07

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma ya Kujifungua imekuwa gharama sana katika Hospitali ya Wilaya Ubungo

    Kiukweli ni hospitali nzuri tu, wanatoa huduma nzuri, ila changamoto ni gharama za kujifungua zipo juu. Miaka miwili iliyopita, kujifungua kwa kawaida ilikuwa unachangia elfu hamsini, na kwa upasuaji laki na nusu. Haikujalisha umekuja na vitu vyako, ilikuwa ni lazima uchangie hivyo. Ila kwa...
  2. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

    Dahh sijajua unatumia nn kufikiria,,, naionea huruma jamii inayokutegemea
  3. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uimara na ubora wa Honda Crossroad

    Naomba niadd kaka mkubwa nakuja inbox
  4. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uimara na ubora wa Honda Crossroad

    Kuna kundi lolote whtsap au telegram la wamiliki wa Honda crossroad tupeane tips kidogo Nimeichukua week ya pili sasa mtambo unabalaa sana kila Unapopita wadau lazima wageuke Sasa nataka kujua chimbo za mafundi wazur wa honda pamoja na spair
  5. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kipigo cha jana sio cha kawaida 😂😂
  6. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    SB A346055D
  7. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    0C45C9 Leo sportbet
  8. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Janaaa
  9. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Biashara ya juice ya miwa

    Naomba ufafanue zaidi plz
  10. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Biashara ya juice ya miwa

    Sinachakulipia
  11. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Biashara ya juice ya miwa

    Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada nataka kuanza hii biashara naomba mniambie upatikanaji wa mashine ya kukamulia miwa, soko la miwa linapatikana wap hapa dar es salaam pia changamoto ya hii biashara ni ipi ,,, pia kama una input yoyote naomba unishirikishe
  12. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duhhhh
  13. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe unaleta code
  14. kijazi07

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    E592DC Sportybet
Back
Top Bottom