Recent content by Kijana Mpererez

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa "Save for Save WhatsApp Number" Pia fahamu faida yake

    [emoji1][emoji1]Wakuu Username haihusiani kabisa na maisha yangu ni jina tu niliamua niliandike msiwe na wasiwasi kwanza apa nilipo nmelala chini na kila kitu kimo ndani ya chumba kimoja kama store kibachela zaidi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa "Save for Save WhatsApp Number" Pia fahamu faida yake

    Moderator [emoji120] weka kwenye Habari na Hoja Mchanganyiko, huku sio mahala nilipoweka mimi [emoji26]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa "Save for Save WhatsApp Number" Pia fahamu faida yake

    Habarini za jioni ndugu zangu! Nimekuja na uzi huu maalumu kwa "Save for Save" huu ni mtindo unaotumika kuunganisha watu mbalimbali kuwa karibu hasa katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp, ambapo kila mtu atakuwa na uwezo wa kumuandikia ujumbe mwenzake na kuangalia status za mwenzake. Faida...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

    Tumia browsers usitumie App
  5. K

    JamiiForums Tanzania Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

    Ukitazama vizuri utaona kamlipa hela [emoji28]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

    Ukute hapo uyo mjuba kashapitishwa kituo na hajaliii wala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chezea Raha Za DadaDala Wewe[emoji1751]Nibalaaaaa[emoji1751][emoji38][emoji38][emoji38]. Hao wanawake huwa wanafanya hivyo makusudi Kisha wanakupa kesi hapohapo ..wanakuchomoa 10,20 au...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wakuu! Nmekuwa na urafiki na mdada wa kiislamu ni mtoto wa sheikh na amekuwa ni mtu wa swala nyingi sana... Sasa leo anadai anakuja kunitembelea nyumbani kwangu kwa sababu nilimwambia j3 nitakuwa na safari kaniambia nisiondoke bila kuonana nae na anakuja nyumbani kuniona [emoji848] Na kwa hali...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, manabii hawa wanaombea na watu wanapata kweli?

    Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, Usije ukafanana naye. Ukawe na jioni njema mtu wa Mungu [emoji120]
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, manabii hawa wanaombea na watu wanapata kweli?

    Unahitaji wokovu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, manabii hawa wanaombea na watu wanapata kweli?

    Hunijui unapata wapi ujasiri wa kuniandikia hivi [emoji848]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, manabii hawa wanaombea na watu wanapata kweli?

    Kwema viongozi! Natumaini mko poa kabisa mnaendelea na maisha kama kawaida. Swali langu leo nataka kufahamu, je hawa watumishi wa Mungu huwa wanaombea watu na wanapata kweli wanachokiomba? Kama kuna mtu ambaye alishahudhuria katika moja ya makanisa hayo na yumo humu ndani atupe ushuhuda na...
Back
Top Bottom