Kijana Mpererez
Member
- May 29, 2022
- 51
- 100
Kwema viongozi!
Natumaini mko poa kabisa mnaendelea na maisha kama kawaida.
Swali langu leo nataka kufahamu, je hawa watumishi wa Mungu huwa wanaombea watu na wanapata kweli wanachokiomba?
Kama kuna mtu ambaye alishahudhuria katika moja ya makanisa hayo na yumo humu ndani atupe ushuhuda na wengine twende tukauone mkono wake bwana.