Recent content by kijana maskini

  1. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

    Gemu yenyewe ni saa ngapi?
  2. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Utani wa watu ninaoupenda hapa JF pamoja na watu na mada utakazowakuta

    Kwenye mada za mpira bila kumtaja popoma Jenta huu uzi ni takataka japo kuwa ni maono yako.
  3. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania "Mficha Uchi hazai". Nimeamua kuja kupasua jipu

    Eee sijaona sababu ya kufungua uzi kwa jambo ambalo lipo tayari.
  4. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wamefunga ndoa na umaskini. Na ni ngumu ndoa zao kuvunjika

    Ngoja nirudie tena kusoma hapa ili nijue nikiwa Kama kijana maskini kundi langu ni lipi hapa.
  5. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Mbona simuoni dronedrake hapo? au unamchukulia poa kwa sababu ni mwana jeiefu mwenzako?
  6. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania "Mficha Uchi hazai". Nimeamua kuja kupasua jipu

    Naugeni wangu Wacha nipigie tizi hapa Atoto
  7. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina wazo

    Hivi mkuu ndio hujawahi ona kabisa makamanda wanapoandika 'KATAA MBUSUSU TUNZA KIBUNDA CHAKO' au ndio unaamua tu kukuza shingo?
  8. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeombwa nikatoe ushahidi wa uongo mahakamani, niko njia panda

    Huyo jamaa anakufurahisha kwa kukufanyia wema Gani?
  9. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Jenta maisini, sababu ngoja nizifikirie.
  10. kijana maskini

    JamiiForums Tanzania Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Ulikwenda na usafiri Gani huko unyakini? tuanzie hapo kwanza.
Back
Top Bottom