Recent content by Kijana Jr

  1. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda safari na kutalii vya ndanii

    Sawa na kutoka arusha kwenda dar es salam unapita mikoa 3 Visit morogoro
  2. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda safari na kutalii vya ndanii

    Habari wanaJamiiForums, tunaopenda kusafiri iwe nje au ndani ya mipaka ya tanzania. Kusafiri ni raha sanaa kunaufanya ubongo upate maarifa mapya, mtu anajifunza mengi sana kuanzia kubadirisha mtazamo wa mtu na kujifunza mambo mbali mbali ya ulimwengu. Je ushawahi safiri ndani ya nchi...
  3. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo possible weka hata figo
  4. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee nina possible odd 3 hapa weka hata figo
  5. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Hatua muhimu kwenye kuweka wiring (umeme)

    Habari wakuu Mpangilio sahihi wa mawasiliano ya umeme ni hatua muhimu zaidi katika nyumba yako. Ni kwamba haiwezekani kuanza ufungaji wa wiring bila mpangilio na hatua sahihi, Hatua na mpangilio sahihi wa wiring sio tu kwa majengo mapya hata ambayo sio mpya. kusudi kuu la wiring...
  6. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Wiring kwa usalama wa nyumba yako

    Ndio mkuu ondoa shaka
  7. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Wiring kwa usalama wa nyumba yako

    Karibu kwa kazi nzuri na ubora kwa usalama wa nyumba yako
  8. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Wiring kwa usalama wa nyumba yako

    Nafanya wiring kwa gharama za bei nafuu sawa na Bure (150,000)kwa ramani ya nyumba hii kwa ubora na usalama wa nyumba yako pia nakupitishia form ya maombi tanesco bila wewe kwenda ofisini kwaoWaweza nitumia ramani ya nyumba nikakufanyia tasmini ya gharama za wiring Napatikana dar es salaam...
  9. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Nimeziona mkuu ila zinataka ujipange kweli kweli
  10. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  11. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Post za matangazo ya engineering jobs

    Wakuu maengineer samahani naombeni connection ya electrical technician
  12. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Vitu viwili vitakavyo kusaidia kutimiza malengo malengo yako

    habari ndugu zangu chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa wema na Fadhila zake juu yetu.katika maisha ya mwanadamu kuna vipindi fulani ambavyo kama wanadamu tunapitia, kuna vipindi vingine vinakuwa vigumu sana kiasi ambacho tunatamani hata kujiondoa hapa duniania hii haimaanishi kuwa Mungu...
  13. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Sitarudia tena kuruka kwenye Daladala ikiwa Haijasimama kama Makondakta

    Mkuu pole sana umefanya nicheke dah umenikumbusha mbali Mimi ndio michezo yangu ya kudrop kwenye daladala bhaaaaanaaaaa ww sitosahau nilivyopiga mguu kwenye kingo za reli kwa kudandia treni ilikua mwaka 2018 pale posta stesheni
  14. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Je uchawi una harufu? Unanuka au unanukia?

    Kuna eneo mida ya mchana saa 7 au saa moja jioni usikika harufu ya viazi mvilingo eneo ilo kuna mahakama pamoja Na sheli mbele kuna njia panda je harufu hiyo ni ishara ya nini
  15. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kilichotokea pale kitaalamu tunaita technical drawing total football system (t-t system) thomas tuchel in the fox mpira unazungushwa nyuzi 360 ili kutengeneza cycle kamili kisha unapigwa right angle kidogo unaji construction cycloid without using mathematics equipment unajitengeneza vertical...
Back
Top Bottom