Recent content by Kijana Jamaa

  1. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Usiogope, Jumatano ndio leo na Bwana singanojr amekusikia
  2. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hahaha hatareeee sana, huu ufuatiliaji wa kiwango cha lami🤣🤣🤣
  3. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Ingekuwa muvi, hii series ungeuza sana jamaa..... haiboi haipoi, ya moto sana hii stori. Kongole kwako Sir singanojr
  4. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Ila duniani kuna mambo jamani, unapewa kadi ya kutoa hela bila kuweka na huangaiki na salio? Hizi bahati haziangukiagi pahala sahihi nadhani 🤔
  5. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Naunga mkono hoja, ndio maana hata mheshimwa Senga anataka kumtumia Dorris kumpata The Don 🤔😅
  6. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Sio kupiga tu, na bikra aliitoa Roma mwenyewe,,,, alafu hii stori buana. Ukiacha Neema mwenye mtoto, wengine wote kajamaa kakuta kitu sealed akakifungua yeye. Kale ka Donyi na kenyewe kidogo jamaa akafumue baharini kule kama sio kuvamiwa na wazungu wale 😅😅
  7. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Toa location kabisa ya shughuli ya maziko, chachandu na tooth pick zipo standby hahaha😅😅
  8. Kijana Jamaa

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hivi kesho nayo huwa ina kesho yake au sio? haijafika tu hiyo kesho?....
  9. Kijana Jamaa

    Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

    Wacha nicheke kwanza hahahahaaa...... kwamba TP Mazembe ni sawa na utopolo?
  10. Kijana Jamaa

    Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

    Daah! Ila we jamaa, eti "lake natron" 😂😂😂
  11. Kijana Jamaa

    Tujikumbushe UMBWE

    Habari ya Morning Talk ilikuwa ni kitu kingine jamani...... mara nyingi kwa o'level hasa form one tulikuwa tukiwaachia waliosoma st. ni nini nini nini sijui wakati sie wa st. kayumba ndio kwanza tulikua tunakula kona au hatuonekani parade kabisa.... waliobahatika kusimama pale mbele kwa morning...
  12. Kijana Jamaa

    Majigambo ya vijana wa Arusha

    ahhhhaaahahahahahahah :D:D......... wapige kimya au nini arifu
  13. Kijana Jamaa

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    system haichagui lukindo maana hamna spesho majina yaliyopelekwa kwenye taasisi husika unless otherwise utuhakikishie kama hilo limefanyika
  14. Kijana Jamaa

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Tuimbe wote jamani "....tumejipangaaa mwaka huu wataisomaaaa" rudia tena na tena na tena na tena na tena....!
Back
Top Bottom