Tujikumbushe UMBWE

Tujikumbushe UMBWE

Mimi nimemaliza mwaka 97 na tulikwa na akina Police, John, Edo, Machel, Sarinjo aka dogo, na wengine
 
siwezi kusahau mazingira yale na kumbuka ogomvi na mlama yaani tulikuwa kama paka na chui kuna siku tulicheza mpira baada ya mechi viboko vilifuata kwa vijana wa mlama...
 
we acha tu mkuu yaani siku hazirudi nyuma ati!


Nilikutana naye mwaka juzi, polisi makao makuu kulikuwa na document anafuatilia, yeye anafanya kazi bandarini DAR.

WABEROYA
dah huyu jamaa mishemishe tangu siku nyingi maana hata dar anapiga kama kawaida...
 
Kuna dada mmoja tulikuwa nae class anaitwa Upendo nasikia alifariki, Mungu amweke mahali pema peponi...
 
Dah, umenikumbusha mzee, siku ile nilikuwa zangu uswekeni, kulikuwa na demu wangu mmoja wale wanafunzi wa day, we acha tu, bahati ilikuwa mitaa ya jirani, kuna masela wangu walikuwa wanapiga banana, walichofanya ni kupulizia pafyumu mdomoni, kuondoa harufu! mzee ilikuwa niondoke siku ile!

sikukoma uswekeni.....

waberoya
weberoya wewe tumemaliza wote mkuu
 
Hivi wakulu kuna mwenye info za Wawa?yule mzee alikua ni mtambo wa nguvu pale jikoni. Nakumbuka pia jinsi nilivyokuwa naenda kupia seleka kwenye katizi za kale katoto-Semeni huku
mfukoni sina sina kitu!
Nani anajua Gilbert Onesmo alipo sasa?
alikuwa ana potential kwenye soka.
 
wakuu mbona data zenu za juzi juzi tu mti safi ni enzi za miaka ya 80 wakiwepo kina masifia wa jikoni
 
Habari ya Morning Talk ilikuwa ni kitu kingine jamani...... mara nyingi kwa o'level hasa form one tulikuwa tukiwaachia waliosoma st. ni nini nini nini sijui wakati sie wa st. kayumba ndio kwanza tulikua tunakula kona au hatuonekani parade kabisa....

waliobahatika kusimama pale mbele kwa morning talk mikono juu
 
Back
Top Bottom