Recent content by Kijakazi

  1. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    moja ipo tayari hivyo mabasi yote yanayotumia br ya mororgoro yanapaswa kutumia hiyo stendi mpya yale ya kusini i.e lindi, mtwara & co. ambayo yanaibukia mbagala yanapaswa pia ya jengewe stendi yao huko wilaya ya tmk, hivyo mwanzo ni mzuri, kwa haya mabasi ya br. ya morogoro hakuna excuse ya...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    english government imetoa tangazo la tahadhari kuwaonya wahamiaji muslims na waafrika wanaohamia nchini uingereza. tangazo na tahadhari imetolewa na english government ...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ukatili Afrika kwa nini? Ufunguzi wa KFC (kentucky fried chicken) ghana angalia mwenyewe!

    wakati rais wa communist ghana akizurura dunia nzima kudai fidia kwa utumwa uliofanyika miaka 400 iliyopita, nchini kwake ghana watu wake wanataka kuuwana sababu ya kuku wa kfc, watu wake wanaishi kama wanyama, hata wanyama wana imani na huruma kwa kiasi fulani, karibu ...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Zamani Auwawa Kwa Risasi Zambia. Halafu Utasikia CHADEMA Wanasema Tanzania Hakuna Amani. Lini Mlisikia Waziri Akipigwa Risasi Tanzania?

    siasa za visasi, cha ajabu huyo (( you know who hichilema)) alipitia yote hayo kwenye kuusaka uraisi, aliwekwa kizuizini kufungwa alipitia mateso kibao sasa anapower he is doing the same, hata tanzagiza itakuja kutokea tena hauhitaji kuwa genius kuona kwamba in the next 5 years ni lazima visasi...
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Inshaallah Roberto Carlos asilimu na kuwa "Muislamu"

    kwa mujibu wa wikipedia ... Roberto Carlos was born in Garça, São Paulo, on 10 April 1973 to Oscar and Vera Lucia da Silva. On 24 June 2005, Roberto Carlos was robbed by two gunmen while doing a live radio interview. He was not hurt but they took his watch and the interviewer's cellular...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    kwani ni wapi niliposema kwamba muundo wa uongozi haufahamiki? tatizo ni kuufwata na kuheshimu katiba raisi mwenyewe katiba haiheshimu na hata aliita "kijitabu tu" kwa nchi za kidemokrasia raisi wa nchi kutamka maneno kama hayo kwa katiba ambayo ameapa kuilinda ilipaswa ajiuzulu moja kwa moja na...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    kwa mfumo wa tanzagiza jinsi ulivyo kuongoza halmashauri hakuna maana yoyote ile kwa maana power yote iko kwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hapo kuna waziri sijui wa tamisemi mpka waziri mkuu wakati mwingine hao wote wanaingiliana na haijulikani mpaka ulipo, angalia mfano tu mambo anayofanya...
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli ameondoa bandari ya Kwala imerudi mjini na kufanya Mji wote kuwa sehemu ya kuweka Makontena

    huo ni ushahidi tosha na uliowazi kwamba hawa wanaoitwa "wafanyabiashara wakubwa" tanzagiza wote ni matapeli na wanaishi kwa wizi na udanganyifu tu, kama tukiikomboa nchi yetu na kuanza kujenga real economy based on planning and real skills kama engineering, it, biotech, mathematics etc hakuna...
  9. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Trump Atangaza “Vita vya Kiuchumi” Dhidi ya Iran

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza hatua kali za kiuchumi dhidi ya Iran, akisema nchi yoyote itakayoruhusu taasisi zake za kifedha, biashara, viwanja vya ndege au taasisi za serikali kutoa msaada wa aina yoyote kwa Iran itakabiliwa na madhara makubwa ya kiuchumi. Kupitia mtandao wa...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    lkn nchi hizo siyo kila idiot anaruhusiwa kununua basi na kuliweka barabarani, ni kama daladala tu, kila mtu tanzagiza anaweza kununua daladala na kulikatia leseni kuna kuliweka kwenye ruti matokeo yake stendi hazitoshi, nchi hii ilianzaa kuharibiwa awamu 2 kwani kabla ya hapo tulikuwa na uda...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Lushoto: Ajali imeua watu 17, Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole

    ukipanda upepo, utavuna kimbunga ... Hosea 8:7
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Muslims invaded Christian Ethiopia mwaka 1520, hatufundishwi shuleni!

    walikuwa communist na lengo ni kulinda islam, usisahahu waafrika Christians na Muslims waliungana against Christians "kupigania uhuru" na baada ya uhuru afrika yote ilienda communist ...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Muslims invaded Christian Ethiopia mwaka 1520, hatufundishwi shuleni!

    Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu ukoloni wa "kizungu" lkn ukweli ni kwamba muslims walianza kuivamia afrika. Muslims chini ya imam ahmed...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    lkn wangetumia vigezo bora kama iq testing, si beteer kwani iq ndiyo inayohitajika kwenye jamii iliyojaa masikini kama tanzagiza kuweka vigezo vya mavazi ili kupata kazi kwangu mimi ni kuwa out of touch with reality ...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    sasa unafikiri kila mtu an uwezo wa kutoa shilingi 5000? kwa kuwa tu wewe unaweza siyo kila mtu anaweza, mko soo out touch with reality na jamii yenuu wenyewe iliowanguka na ndiyo maana hatuwezi kutoka hapa, kwa maana mlio juu hamjali walio chini, kwangu mimi hata kama wangekuja kifua wazi kama...
Back
Top Bottom