Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

Unahisi hao wazee wa miaka 86 hata wanajua AI na GPS coordinates ni nini? Kama unaamini vita vinapiganwa na hao wanasiasa then Iran Hana kitu, ila uhalisia haupo hivyo.

Handala Kundi la Iran la hii vita wanadukua Israel kama hawana Akili vizuri, mpaka ukiona Netanyahu anabandika Gundi kwenye simu anaelewa wanachofanya, mpaka ukiona Taa za barabarani zinatolewa Israel wao wanaelewa wanachofanya.

Juzi Dimona kumepigwa hakujalia Ving'ora wala missile Ku intercept Handala wame claim udukuzi huo wamefanya wao.

Angalia hata picha za Satellite base za Marekani zilivyopigwa, ni mpuuzi pekee atasema hawa watu walikua hawana intelligence.
View attachment 3562288
Unaona Radar hizo zimekuwa precisely attacked, MTU yupo Iran pengine maisha yake yote hata nje ya Iran haijawahi kutoka, anabonyeza Tu kitufe missile inaenda exactly kupiga sehemu Fulani tena kisehemu kidogo Tu kama dishi la Mita kadhaa kinateketezwa. Unahisi hii sio intelligence?
mchina na russia wanahusika kwa 100% kumpa intel Iran kupitia satellites zao na ndipo wakishapewa wanarusha hayo makombora na drones isingekuwa hivyo Iran angekuwa na hali ngumu sana kuliko aliyo nayo sasa.
 
Upo Sahihi Mkuu. Japo wengi watapinga lakini USA na Israel hawakutegemea walichokutana nacho. Trump anaongea upuuzi kwamba Tehran wamekubali kufanya mazungumzo wakati Iran wanakanusha. Mara aombe ceasefire😂 Pathetic
Ulitegemea Iran akubali kuwa kakubali kufanya mazungumzo? ili aonekane mnyonge? katu isingewezekana
 
Ulitegemea Iran akubali kuwa kakubali kufanya mazungumzo? ili aonekane mnyonge? katu isingewezekana
Atoe taarifa za vifo vya viongozi waliokuwa assasnated sembuse kukubali Diplomasia if necessary. Kwahiyo alivyotoa taarifa ya kifo cha khemenei hakuona itakuwa unyonge? unaongea upuuzi gani mkuu! Habari iliyopo mpaka sasa hivi mitandaoni ni kwamba Foreign Minister Abbas Araghchi said Tehran will continue its “resistance” and does not intend to negotiate
 
Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?

Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.

Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?

Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.

Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta

Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
Viongozi wa Iran wanajificha kwenye kambi za kijeshi, kwenye bunkers, tena za umbali mrefu sana kwenda chini ya ardhi, wanalindwa kwa ulinzi mkali sana na tena kwa kupewa intel na russia na china, wanajificha mpaka kwenye maeneo ya umma, kama mahospital, mashule na bado Israel inawapata na kuwaua kibudu. Iran ishukuru ina eneo kubwa sana kijiografia isingekuwa hivyo ingekuwa imepigika mnooo zaidi ya ilivyo sasa. Kwenye suala la nani ana intel bora kazi za Israel zinaongea zenyewe mwenye macho haambiwi tazama maana anajionea mwenyewe.
 
Mr. Trump, in a Truth Social post, warned that Iranian officials “better get serious soon, before it is too late, because once that happens, there is NO TURNING BACK, and it won’t be pretty!” Iran has publicly dismissed Mr. Trump’s plan and insisted that the fighting will end only on its terms, though some Iranian officials have privately signaled that they are
 
Atoe taarifa za vifo vya viongozi waliokuwa assasnated sembuse kukubali Diplomasia if necessary. Kwahiyo alivyotoa taarifa ya kifo cha khemenei hakuona itakuwa unyonge? unaongea upuuzi gani mkuu! Habari iliyopo mpaka sasa hivi mitandaoni ni kwamba Foreign Minister Abbas Araghchi said Tehran will continue its “resistance” and does not intend to negotiate
Taarifa ya Khamenei kuuwawa Iran walibisha kwanza, baadae kinyooooonge ndiyo walikubali baada ya Israel kusema ishamuua kibudu huyo gaidi na picha kuwa washatoa peupeeee. Halafu kifo wangefichaje wakati Israel kila ikiua inasema wazi kuwa kazi wanaume washamaliza na sometime mpaka picha wanatoa? sasa hapo wanabishaje? so inabidi wakubali matokeo tu.
 
Pathetic! Pitisheni meli zenu pale Homuz kama uwezo mnao
 
Huu Uzi wamejaa viremba na wavaa vipedo wakijifariji
Top Government structure yote imesambaratishwa bado mtu ana kwambia Iran kashinda hii vita?
😆😆😆😆😆😆
twende kwa facts
Targets eliminated both Israel & Iran
Top leaders
Military Areas/bases
Missiles cities
Etc etc
 
mchina na russia wanahusika kwa 100% kumpa intel Iran kupitia satellites zao na ndipo wakishapewa wanarusha hayo makombora na drones isingekuwa hivyo Iran angekuwa na hali ngumu sana kuliko aliyo nayo sasa.
That's true kwa Nchi yoyote Duniani Ukitoa USA, Mrusi na China.

Hata Ukraine anapewa Satelite na Usa, Vita vya Congo na Rwanda wanapewa, Sudan na kwengineko.
 
inaelekea hata maana ya communism, asili yake ni wapi na kwanini ilianzishwa na nani alianzisha haulewi labda, afrika tunataliwa na kuibiwa kila siku kwa maana mambo mengi sana hatuyalewi jimbuko lake, kwa kifupi hatuelewi histroria ya mifumo mingi tunayoitumia, kuifwata na kuieteta kwa nguvu kubwa ndiyo maana wanaoelewa wanatutawala na kutuibia kirahisi sana, tunadandia tu treni kwa mbele, kwako wewe unafikiri communism ni soviet union tu au north korea, its bigger and much deeper than that.

isitoshe hakuna mahali niliposema kwamba USA ni communist, bali nimesema USA communists wapo hata ndani ya mifumo yao, wengine hata wanaongoza states kama governors au mayors, kwa mfano mayor wa los angeles, USA Karen Bass ni communist na wengine wengi tu, mamdani musilm mayor mpya wa new york au aoc ni communists, bernie sanders ni communist ...
Unazidi kuongea UJINGA na UPOTOSHAJI.
Ku engage na brainwashed man ni kazi bure. Wacha niku ignore na ujinga wako.
 
Unazidi kuongea UJINGA na UPOTOSHAJI.
Ku engage na brainwashed man ni kazi bure. Wacha niku ignore na ujinga wako.

kwa kukusaidia tu kabla haujaenda, communism haijaanzishwa russia, china au sjiui korea bali communism imeanzishiwa western europe na wanaofadhili communism ni bankers capitalists wanaoishi western countries na siyo north korea au sijui iran, hao iran au china ni experiments tu kama ilivyokuwa soviet union, wanakuwa na theory wanatafuta mahali pa ku-practice hiyo theory ya communism ndiyo maana wakaanzisha soviet union kwa kumpindua tsar mfalme wa mwisho wa russia, wengine waka-fund islamic revolution ya iran au unafikri kwa nini islamic republic of iran sasa hivi inapata watetezi ktk western countries? its there project.
baada ya soviet union kushindwa na kuanguka sasa hivi wako china another experiment ...
 
Back
Top Bottom