Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu kuwaswa seheme za korodani na Kuna vinyama vilikuwa vinaota , Asanten kwa ushauri na nilpo enda kwa Daktari nilipewa hizo dawa mbili za kupaka ambapo ELYVATE unapaka asubuhi na jioni seheme zenye kuwasha , na hiyo SEABOMA lotion unapaka...
Habarini ndugu zangu , Kuna siku niliomba ushauri kuhusu muvunjika kwa uchumba na jinsi ya kurudishiwa mahali na baadhi ya zawadi nilizowahi kuzitoa ,
Nashukuruni kwa ushauri wenu kwa kila mmoja alivyonishauri na hatimaye Mahari yangu yote imerudishwa na Namshukuru Mungu kwa hilo na Mungu...
Habarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaada
HomeIJUE SHERIASHERIA IMERUHUSU KUDAI ZAWADI ULIZOTOA UCHUMBA UNAPOVUNJIKA.
SHERIA IMERUHUSU KUDAI ZAWADI ULIZOTOA UCHUMBA UNAPOVUNJIKA. IJUE SHERIA,
Una mahusiano na mwanaume au mwanamke ambaye kimsingi mpo katika uchumba. Unampa zawadi nyingi naye anakupa zawadi. Mnayo ahadi ya kufunga...
Yaani nimefanya hivyo pia na Kuna dada ake ambeye wameshare baba , nilimshikikisha kutokana na kuwa tangu nakuwa amekuwa akisaport Sana na tangu tunaingia uchumba huyu dada amekuwa akinishauri vitu vingi hasa kusali Sana maana ni mtu wa dini , kwaivyi ilipotokea mdogo wake ameamua tuachane...
Dah broo nakuelewa Sana , yaani mpaka nahisi kafungwa kiakili maana akiulizwa kwanini umeamua anasema Mimi huwa namwambia njoo unifulie wakati bado hata ndoa sasa kiuhalisia haiingii akikini
Jamani wanasheria naombeni ushauri Mimi nilikuwa na mwanamke ambaye alikuwa mchumba wangu , na tulisha chumbiana mpaka kumvalisha Pete na mipango ya harusi ikaanza Sasa Basi akiwe yeye yupo katika hatua ya kujiandaa na send off na Mimi pia nikiwa najiandaa kwa harusi ambayo ilitakiwa ifanyike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.