Recent content by KIHIYERENI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Umeona eee
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya washawasha kugeuzwa ya Zimamoto

    muungwana umenena !!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa ya Mbowe kugeuza CHADEMA kuwa kichaka cha Mafisadi, anapaswa kujiuzulu

    kama alifanya kosa basi usibaki kulia daktari wa majipu yupo mbona hajatumbuliwa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa ya Mbowe kugeuza CHADEMA kuwa kichaka cha Mafisadi, anapaswa kujiuzulu

    Acheni kuangalia ya wenzenu wananchi tunataka sukari Lowasa,Sumae hawapo kwenye mfumo wa utawala sasa.Tujadilini leo siyo jana.Tulijuwa tu kwamba kigingi kipo karibu.Lugumi,sukari.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zitto, Mdee na Heche, wahojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Wizara ya bunge la bunge jmt.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani leteni sera mbadala zidi ya serikali zenye tija ili kumkomboa mtanzania

    Wachangie kupitia wapi? Bungeni wanabanwa na makada wanaotetea wanaosimamiwa na ccm.Kushauri mtu asiyeelewa kazi bure ni wakati utaamua
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Lugumi,sukari,Bunge live.Kwa mheshiwa yamekuwa matende.Anaona shida kukata mguu?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya washawasha kugeuzwa ya Zimamoto

    Hayo ndiyo maajabu ya serkali ya CCM.Wanataka kubakia madarakani kwa bei yoyote ile.Wakati wakulima wanakosa pembejeo wao wanaagiza gari za washa washa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza tani 70,000 za sukari. Tani 11,957 zimeshaingia nchini

    sukari sukari sukari!!!!!!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    Ndo maana kwenye katiba yao walitaka sifa iwe kusoma na kuandika ili wapate wasema ndiooooo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    Kama tunaiga bunge la Uingereza ni sawa.Lakini isiwe kutoonyeshwa bunge tu.Tunatakawagombea huru kama huko pia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania B. Mkapa anamiliki mashamba ya miwa ya Mtibwa, na ndiye Swahiba wa Rais Magufuli

    Kuwa shamba kuna shida gani?Mbona waliojichukulia UDA kwa mgongo wa Kisena wa hatuwasemi?Tumejaa unafiki kujipendekeza.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Ni gharama kuendesha matangazo live, sipo tayari TBC1 inifie mikononi

    Kitu ambacho wengi hamjatambua ni kwamba Nape,Tulia wapo maalum kwa sababu maalum hivyo tutashangaa mengi ktk bunge hili.Hivyo 2020,ni juu yetu kusuka au kunyoa ni kuwaondoa wabunge vilaza wote wa CCM.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

    Bwana pasco naheshimu sana mada zako.Lakini kwa jana naona Mheshimiwa alikuwa sawa kabisa.kumbuka nyara kukamatiwa Uswiss toka JKNIA, Kwa hiyo kila kitu kinawekana ktk nchi hii.Nafikiri bila kujua sisi wananchi nchi ilibinafusishwa. Tena bila tenda.
  15. K

    JamiiForums Tanzania TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

    Shida unapokuwa Wabunge wanaokwenda kujipendekeza kwa serkali badala ya kuisimamia.Ndugai na wenzake historia itawahukumu kwa kutudisha karne ya kumi na nane.Wameligeuza bunge kuwa taasisi butu kabisa.Na wabunge wa CCM wametumbukia kwenye mtego.Kwa mfano hawa wa viti maalum toka CCM...
Back
Top Bottom