Recent content by Kigose

  1. Kigose

    Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

    Kuwa mfatiliaji ndugu usiropoke wenzetu wapo Makini na weledi press lazima hiyo NI class business sio biashara ya matunda Kuna kipindi kinaitwa aircraft investigation jaribu kuangalia utajua na utajifunza
  2. Kigose

    Mahakama ya Mafisadi ya mhukumu Raia wa Nigeria miaka 30 kwenda jel

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema nahitaji kujua hiyo mahakama ipo au haipo na utendaji kazi wake.
  3. Kigose

    Uhamiaji watangaza ajira

    Yani vijana mnaonesha ni jinsi gani mnakosa ufahamu mujibu wa sheria ni kozi Kama kozi zingine lakini usiwe mropokaji bado hujakomaa kiakili na jeshi haulifaham hata hujawahi kufanya usahili wowote wa ajira hujui na comment zenu zinaakisi kiwango Cha ufahamu wenu juu ya vyombo vya ulinzi. Sifa...
  4. Kigose

    Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

    Mechi ipo live wewe unasema saa 11 upo chato au
  5. Kigose

    Kenya v Tanzania: Mchezo wa marudiano kufuzu kushiriki michuano ya CHAN

    Tanzania bado Sana kwenye soka Yani hakina coverege ya kuonyesha mpira wa Kenya na Tanzania halafu Kuna viumbe wanaamini sis ni bora tutasubir sana
  6. Kigose

    Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure

    Ndio media zetu walisema wanafunga mitambo na mpaka tareh 27 wataruhusu Leo tareh 28 hamna kitu huu sio uwekedi
  7. Kigose

    Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure

    Kweli mdau mpaka Leo hii kimya waje watoe majibu
  8. Kigose

    Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure

    Kufatia taarifa ya serikali juu ya kuipatia azam media leseni ya kuruhusu kuonyesha CHANELI za ndani ya mwezi may mwaka huu IN SUMMARY Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure Advertisement Dodoma. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano...
  9. Kigose

    Niliyosema na yaliyotokea Miezi 24 baada ya Majadiliano ya Tanzania na Kampuni ya Barrick,

    Mama ndio umemalza hapo vipi umri unakwenda sana
  10. Kigose

    Ole Sabaya Ana Makosa Mengi Sio Mweledi Hata Kidogo Hebu Angalia Hapa Visa Vyake.

    Hivi uliona hyo clip ya mfanya biashara akilalamika au umekuja kutetea Jambo usilolijua?
Back
Top Bottom