Kwa siku kadhaa sasa fukuto la kutofautiana kimtazamo na maneno baina ya viongozi wakuu wa nchi umezidi kuchukia sura mpya siku adi siku, je ni vita ya panzi furaha kwa kinguru?
Ipi faida ya upinzani kuelekea kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Ni mpongeze ndugu Abdulrazak Gurnah kwa kushinda tuzo ya Amani ya NOBEL katika kipengele cha Fasihi 2021, na kuwa mswahili wa kwanza kushinda tuzo hii.
Ni wakati sasa wa serikali kubeba swala ili la uraia pacha "Dual citizen" tumeona diaspora wetu kwa makubwa anayofanya uko ughaibuni.
Wec an...
Ndoto ya aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati JPM ilikuwa siku moja ni kuona SGR kutoka DAR-MORO-DOM ikiwa inafanya kazi.
Ivyo ivyo kwa Rais wa sasa mheshimiwa S.S.A ndoto yake ni kuona siku moja mradi huu ukiwa umeshanza kufanya shughuli zake.
Je mradi huu ni wa kibiashara au ni wa kihudama kama...
"Ukitaka mali utaipata shambani" ndicho waweza sema kilicho tokea leo, vigogo karibia wote wameanguka leo ivyo twaweza kusema maisha ya kubeti yamekuwa magumu.
Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?
Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya kutosha ivyo hali wanayopitia simba ni kama ile walikutana nayo liverpool msimu uliopita ivyo ni...
Kwa lugha nyepesi au ngumu waweza kusema s kuwa safari ya mafanikio ya simba kwa sasa ipo kwenye hatua ya mwisho kwa kutumia mfano wa bidhaa sokoni.
Product life cycle ina stage zipatazo nne:-
i. introduction stage
ii. Growth stage
iii maturity stage
iv diminish stage
Ivyo kwa simba ya sasa ni...
Nafikiri kungekuwa na vifurushi ambavyo ni basic bundle kwa makampuni ya simu na viwe monitoring na TCRA, Na pili kuwe na upande wa vifurushi vya ofa ambavyo ingekuwa ni choice kwa kampuni kujua wanaweka kwa namna gani ili kupata ushindani sokoni (Ni kampuni lenyewe la simu kujua wanaweka ofa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.