Labda niseme kitu, tujifunze kusema ukweli ili tusipotoshe watu hapa, Wafungwa wa Kunyongwa wana gereza lao maalumu ambalo hata mfungwa wa kifungo cha maisha haruhusiwi kuingia huko, huyu mnayemsema kawekwa huko ni Mahabusu bado, hawezi kuingizwa huko kwa namna yeyote ile, semeni ukweli kwaajili...
Mnatokwa na povu wakati kasoro zilionekana mapema kuanzia mchakato wa kuwapata wawakilishi wenu haukufuata utaratibu wa sheria bado mkaona ni sawa,sasa mjipange kwa hoja, niwakumbushe tu MAAMUZI YA BUNGE HAYAPELEKWI MAHAKAMANI
Lissu ndo anaharibu chama japo anakumbatiwa na wakubwa wake na kwa matokeo ya uchaguzi wa madiwani Chadema wajitathimini maana Watanzania wamechoshwa na propaganda
Yesu aliletewa wagonjwa siku ya sabato akawaponya,wale Mafarisayo walipomlalamikia aliwapa mfano akisema,ng'ombe wako akiangukia shimoni siku ya sabato utamuacha afie humo au utamtoa?nina maana hii hao madogo wasichanganye madesa kama wapo chuo kwaajili ya kusoma wanatakiwa kusoma na si kufuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.