Recent content by Kigagadaud

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ulivyopata Jina lako la “kizungu"!

    Guys The answer is very simple this is the one of the colonial legacy! Ukiitwa jina la mzungu unajisikia fahari hasa kujiona umebatizwa au umesirimishwa! Hahahaha Your arguments is very valid Thank you
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Wewe ndo Elimu ndogo kuliko soma katiba wewe Lazima ujue kuwa mamlaka ya rais yako ndani ya katiba ya Jamhuri ya Mungano si inje ya hapo! Hako kakipande ka clerk of National Assembly sijui ni kanuni za bunge sijui nini tangu lini katibu wa bunge anatoa mamlaka na kusign ni kikaratasi either cha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Kipande cha karatasi ulichoweka ni kipande cha kufungia vitumbua wala maandishi hayo si ya Tanzania Hatuna utaratibu wa the seat of international activity wala the seat of regional government hatuna viti maalumu vya hivyo labda kenya chizi mmoja tu karusha hiyo Lakini mamlaka ya Rais yako...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    Takwimi za chooni
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Braza Acha kuishi kwa hisia utaishia kubaya zaidi leta wazo la maana si hili hivyo vyanzo vyako achana navyo mkeo ni safi ila wewe fake!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa akamatwa na Polisi. Ni baada ya kuomba radhi

    Ni nini kimepita hapo katikati? Mbona kuomba radhi huyu dada hajakanusha kuwa si mtoto wa huyu mzee? Ametishwa sana inavyoelekea dada yetu umeeleweka Mungu amekusikia!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Njooni tuone kazi kubwa aliyofanya Mh. Rais Magufuli kwa kipindi kifupi tu

    Sisi tunahitaji maendeleo hongera sana Rais wangu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nchi zote zenye akili duniani zinahamia katika mfumo wa "accrual accounting"

    Si sahihi kusema watanzania ni wajinga utakuwa umekosea sana Katika utafasiri wa reports za CAG duniani kote ilivyo hawaangalii nini kimefanyika nini maana kitu kinaweza kufanyika sahihi lakini doctrine za uhasibu zikawa si sahihi! Mfano umewatuma watu wawili kufanya semina ya chanjo wakwanza...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuki ya wanawake kwa wanawake inatokana na nini haswa?

    Kabla ya kukujibu swali lako unatakuwa uelewe kuwa swali lako limejikita sana ki psychology zaidi Jibu ni kwamba wakina mama ni watu wanaoishi zaidi katika emotional zaidi kwahiyo anaweza yuko pale yeye kumbe ana mambo mengine kichwani na kuonekana anachuki Kuzibiditisha hili tazama tu wenye...
Back
Top Bottom