Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa akamatwa na Polisi. Ni baada ya kuomba radhi

Walimuandama kwa vitisho mpaka akamuona baba yake mchungu.
kwani kulikuwa na ulazima gani wa kusubiri mpaka litoke tamko kutoka kwa bashite ndipo ajitokeze???

ye si ni mtu mzima pale alipo kulikuwa na shida gani kutumia busara walau atafute njia sahihi ya kukutana na EL mwenyewe kisha amwambie yale anayo yadai kuwa aliambiwa na mama yake kuwa yeye ni mwanae,au hata huko nyuma akiwa mdogo angefanya hivyo angalau ingeleta mantiki maana ingeonekana mtoto anamtafuta baba na sio kwa alivyo fanya kwa sasa acha yamkute si aliyataka mwenyewe hata kama ikitokea yana ukweli ndani yake si alijifanya kajitoa ufahamu...!!
 
Alishaonana na kaka yake akamtoa nauli
 
kwani kulikuwa na ulazima gani wa kusubiri mpaka litoke tamko kutoka kwa bashite ndipo ajitokeze???
Huyu Fatuma Lowassa ni smart sana, katafuta haki yake kwa muda mrefu kaikosa,alivyosikia mkuu wa mkoa katangaza akatumia fursa,wewe mwenywe hebu omba tu kumuona waziri kama utamuona?!!Fatuma Lowassa ana akili nyingi sana.
 
Na cha kushangaza mpaka sasa pamoja na usmart wake uyu Fatuma Chikawe amefeli na sijui itahitimishaje katika safari yake ya kumtafuta dingi yake, maana kaishia kupelekwa kwa bashite kama post kuu inavyo twambia!!! hmmm...
 
Bashite alivyo na mavi kichwani badala ya akili mtoto wa Edward Lowassa ataitwaje Fatuma??kseli Makonda ni zero kabisa!
Hata huyo mwanamke anaishi nsye alimpendea nini Bashite?
Natamani ajitokeze hadhani atuambie kulikoni!
Pesa. Ukitaka kutawala watu uwatumie utakavyo yafanye maisha yao kuwa magumu, kisha watume kufanya jambo lolote utakalo Inatia huruma, huyo dada alirubuniwa kutokana na shida zake. Kilangila.
 
Ni nini kimepita hapo katikati? Mbona kuomba radhi huyu dada hajakanusha kuwa si mtoto wa huyu mzee?
Ametishwa sana inavyoelekea dada yetu umeeleweka Mungu amekusikia!
 
Thinking capacity yako iko very low kaicharge! Unajua mahusiano ya watu wote duniani? Usiwe unajudge kila kitu kama zuzu asiye na uelewa. Huyo dada alikuwa na simu na anaweza kufanya mawsiliano na kutoa taarifa za hali aliyonayo. Yaani mnatengeneza mapicha yale ya olasit na soweto kisha msingizie wengine! Tumieni akili zenu na kama hamnazo achaneni na makick ya punda!
Sasa huyo YEHODAYA asipo post hizo pumba zake, atakula nini? Kilangila.
 
Ni nini kimepita hapo katikati? Mbona kuomba radhi huyu dada hajakanusha kuwa si mtoto wa huyu mzee?
Ametishwa sana inavyoelekea dada yetu umeeleweka Mungu amekusikia!
Mkuu kweli usemayo. Nimesikiliza clip anayoomba radhi, hakuna popote aliposema kuwa hajazaliwa na Lowasa, bali kasema anasikitika kum chafua huyo mzee kwenye media!
Cha kushangaza vyombo vya habari vinavyojiita 'makini' vimemnukuu kwa kumuwekea maneno mdomoni.
Hakuna katika statements zake alipokanusha kuwa hajazaliwa na Lowasa.
Nadhani kuna tatizo sehemu ama vyombo vya habari vimenunuliwa kuvuruga ukweli!
 
Kwa maelezo ya kina ya matembezi.co.tz, Fatma anaweza kuwa ni mtoto wa Lowassa. Mama yake anadai walikutana na Lowassa mwaka 1987. Muhimu DNA ipimwe
Fatma hakukanusha kuwa Lowassa ni baba yake au sio bali aliomba msamaha kwa njia aliyotumia kumzalilisha Lowassa na familia yake. Pia cha kushangaza ni kuwa Fatma aliongea hayo baada ya kukutana kwa faragha na familia ya Lowassa, sijui kule walikubaliana nini?
Makonda amweka ndani aliyedai ni mtoto wa Lowassa - Mtembezi
 
Kwanini isiwe huyo Dada kuongwa na lowasa na kutishwa ili aombe radhi then team lowasa wamteke na waproject lawama kwa bashite?Na unajua lolote litakalotokea tu akihusishwa bashite watu lazima waamini.Huoni lowasa na team yake wanaweza tumia hiyo fursa?Au ni lazima tuwaze angle moja tu?
Kwa nini akihusishwa Bashite watu lazima waamini? Kilangila.
 
Kwanini isiwe huyo Dada kuongwa na lowasa na kutishwa ili aombe radhi then team lowasa wamteke na waproject lawama kwa bashite?Na unajua lolote litakalotokea tu akihusishwa bashite watu lazima waamini.Huoni lowasa na team yake wanaweza tumia hiyo fursa?Au ni lazima tuwaze angle moja tu?
Wewe waweza kuwa uliwaza sahihi, kwakuwani issue ya siku nyingi sijui iliishia wapi hii!
 
Back
Top Bottom