Recent content by Kifunyizio

  1. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ivory Coast na Tanzania ipi imepiga hatua zaidi kimaendeleo?

    Daah ngoja ninyamazee tu😃
  2. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Dawa ya meno mkuu
  3. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Sawa kama hutaki
  4. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Kiba ni teja wa mirungiiiii mbwaaaaa
  5. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    Ana mahusiano yake mengi na sote tunaheshim ilo😃
  6. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    Ex wangu, ana'care pindi kutokeapo tatizo
  7. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba liko kwenye Uongozi

    Sijasoma upang'ang'a wote ila nakwambia hivi...BADO HAMJASEMA MPAKA......🤣🤣🤣
  8. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa ama Che Malone au Inonga kusugua benchi

    Kati ya hao wawili waliolia kuna mmojawapo hafai hata kuwepo ktk bench la simba ni hiyo basi tu kwasababu mashabiki mnampenda na kocha anapanga kikosi kutokana na mashabiki na viongozi wa simba,ila ukiangalia mpira kiumakini sana japo simba ina mapungufu sehemu nyingi ila kapombe aiseee kasi...
  9. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Aviator Hack

    Hiyo ni bahati yako tu mzee, ila hao waliobuni huo mchezo walitulia sana pia kumbuka ni wazungu hakuna cha hack wala huck hiyo ni bahati yako😁
  10. Kifunyizio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatamani kuishi wapi hapa Tanzania ili wenyeji tukupe Abc?

    Tanga raha kwenye hayo mambo matam tam lakini hakuna madili ya pesa Nasema kama mzaliwa wa tanga na hapo nipo kitandani nakandwakandwa mwili😁
  11. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    Ihefu 0:2 kandamili Mzize Aziz k
  12. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Makamba na Maharage Chande walikuwa wanafanya makusudi kuwe na mgawo? Mbona tangu wameondoka ni kama hakuna mgawo?

    Mgao hakuna sasa hivi, labda ukatike kawaida baada ya nusu saa au lisaa unarudi au papo kwa papo Tanga mjini location
  13. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga msaada

    Kwahizo sehemu ulizotaja hapo, frem 300k per month
  14. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ikitangaza kujenga Viwanja 2 AFCON Kenya kujenga viwanja kaunti zote. Tumejiandaa kwa ushindani kweli?

    Fungu la caf ni kiasi gani kwa ajiri ya maandalizi????
  15. Kifunyizio

    JamiiForums Tanzania Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    Angalia tarehe hiyo ya jana tu kijana tumemchukua tayari mzungu huyo, tatizo wabet kwa mawazo sana unawaza sana kuhusu pesa yako😁,mpaka leo wajua idadi ya pesa ulioliwa ujue kabisa ulikua wabeti kwa kuwaza pesa yako na presha juu😂,punguza presha uncle njoo nikusuke vizuri tumpasue huyu mzungu wa...
Back
Top Bottom