Recent content by kifungamimba

  1. K

    Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    mkuu nichekie hii ,naomba kama unaweza , kunikadiria gharama kwa invoice hii nimeiattach
  2. K

    Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Unadhani Kila mtu ana muda, mazingira sawa na wewe. Mtu kaajiriwa ndichi huko na bado kazini anatoka saa 11 jioni. Ila ndo hivyo anayo hiyo 20m , aiweke chini ya godoro?
  3. K

    Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    We jamaa unajielewa kweli, Yani umetoka kusema UTT ni ujinga halafu unamshauri aweke hela zikae tu benki. Si Bora aziweke UTT hiyo 20m anachukua laki mbili kwa mwezi, na akiwa mvumilivu akiiacha ifanye compounding, ndani ya miaka mitano na ushee, anakuwa na 40m. Faida ya 20m in 5yrs huo si sawa...
  4. K

    Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), wameandaa mafunzo ya ujasiriamali na malezi ya biashara kwa vijana

    Thanks. 2016 nilishiriki nikaishia top 50. Ila ni experience nzuri sana na unajifunza mengi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1xbet mbona inanigomea kudeposit Leo kwa tigopesa, inasema muamala umesitishwa na pesa zimerudishwa kwenye tigopesa. Kuna MTU anajua solution ya hili ? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau kama kuna MTU anazielewa hizi aina za kubet za 1xbet anielezee kidogo 1. Chain betting 2. System betting 3. Anti accumulator betting Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Braza nimeuliza swali, na kuuliza ni part ya research, so thanks for the info
  8. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnaotumia 1xbet ,kuna ambaye amewahi kuwithdraw pesa kikamilifu kutoka kwenye account kwenda kwenye simu ? Nasikia jamaa ni wezi. Unadeposit vizuri, unashinda mikeka vizuri IPA ukitaka kutoa pesa ije kwenye simu wanaanza longolongo mpaka wanakufungia account.
  9. K

    Ufugaji kuku

    @MAY ZEPHAR pitia hizo sticky hapo juu kwenye hili jukwaa la ujasiriamali, kuna kama uzi mbili hivi za kuku wa kienyeji, ukizisoma zote ukamaliza utajifunza mengi sana na ni darasa tosha kuanza kufuga mwenyewe,hizi hapa: @Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake @Unataka kuwa...
  10. K

    Nauza kuku wa nyama (broilers) wenye uzito wastani kg 1.5 Tabata, bei 5500

    @aikaruwa1983 nipo tabata kimanga kaka, hii bei ya rejareja, jumla bei itashuka hadi 5000
  11. K

    Nauza kuku wa nyama (broilers) wenye uzito wastani kg 1.5 Tabata, bei 5500

    Nauza kuku wa nyama ( broilers) Wapo 200, Uzito wastani kg 1.5, Nipo Tabata, Dar es Salaam Bei 5500 Mawasiliano: tigo : 0712 260 994 voda: 0764 177 512
  12. K

    Nauza kuku wa kisasa wa mayai

    Pole sana, pale tazara nasikia kuna wahuni wengi sana, kwa miezi mitatu hiyo 8000 bado ni bei ya hasara ila wauze tu kwa nyama uanze upya. Next time usitumie madalali nenda kampuni zenye ofisi na zinazofanya kazi tangu muda mrefu.goodluck
  13. K

    Nataka kuacha kazi/kuajiriwa ili nijiajiri

    huu uzi nikiusoma wakati ndo bado nasota kutafuta kazi miezi kadhaa, najisikia kama niweke vyeti kapuni nifanye mpango wa kuvijasiriamali visenti vyangu. manake m3.5 parefu kwa ambao hata hatujaanza kazi duh hiyo ni dream money.
  14. K

    Natafuta vifaranga wazuri broilers 100, bei around @1300

    Msaada anayejua pakupata vifaranga broilers wazuri bei around 1300,anisaidie adress au contacts. Thanks
  15. K

    Ufugaji wa Kuku wa kisasa (Layers)

    Asante kwa feedback, Mi nina mpango wa kuanza na broilers 100 then 300 kama kujifunza hivi kisha ntafuga layers nikipata experience.
Back
Top Bottom