Recent content by kifumue

  1. kifumue

    Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Best safi sana endelea kutupaka maana Mimi funguo Huwa naning'iniza kidole cha mwisho ili heshima ipatikane
  2. kifumue

    Swali: Hivi mabikra wanapataga hamu ya kufanya mapenzi?

    Baadae si unaona yakwako haujui uliangushia wapi
  3. kifumue

    Swali: Hivi mabikra wanapataga hamu ya kufanya mapenzi?

    Labda nikuulize swali Moja la kizushi ,kwanini mtoto mchanga akichekeshwa anacheka inamaana tayari ana mihemko.sasa uyo mtoto kuangalia hizo picha alikuwa anatafuta staili ya kwenda kufumuliwa sawa ,ndiyo maana sasaivi watoto wengi machine zao zipo used
  4. kifumue

    Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

    Jamani mondi afanye mambo Gani mazuri mumpongeze acheni umaskini wa fikra kama uyo mtangazaji angekuwa dada yako ungesema hizo best
  5. kifumue

    DAR: Moto mkubwa wazuka soko la Mbagala rangi tatu

    Ni kweli Wana jf Mimi ndo napita apa moto ni mkubwa sana ila sikuwai kupiga picha kwa kuwa gari zinapita Kasi apo
  6. kifumue

    Nawezaje kuongeza urefu wa kimo?

    Best ebu kuwa mpole kwanza nyie watu wafupi mnafaida nyingi sana maishani ila hamjiamini,kwanza kama ni usiku ni rahisi kumdanganya konda wewe denti japo unfamilia Hivyo mungu akupe nini we mwana wa adamu
  7. kifumue

    Elimu kwa walevi wa pombe kali

    Kweli best ila one for the road please
  8. kifumue

    Kwanini katika Walinzi wengi wa Marais duniani kuna mmoja huwa anavalia miwani myeusi?

    Daaa yaani ndugu yangu ilo ni swali jepesi sana hiyo miwani ni kwa ajili ya kuditect wachawi si unajua tena wachawi wanapenda giza,unaweza kuta raisi kawa bubu gafla kwa hiyo uyo anayevaa miwani uwa anakuwa mkuu wa wachawi kwa raisi na umlinda asizulike na hao wachawi duniani kuna mambo we acha tu
  9. kifumue

    Mwanasheria ni noma

    .
  10. kifumue

    Msaada: Jinsi ya kutoa bikra kistaarabu

    Best fanya hivi,nisikilize mle mate wakati uo fanya kama komedi Fulani vaa kanzu lake au siketi note usivae chupi alafu mwambie mpenzi Mie nimevaa nguo zako basi we vua nikuone tu mi nimelizika Sasa ngoja ajichanganye si unajua siketi unaweza peleka juuu au chini Sasa apo usicheke nanyani
  11. kifumue

    Kazi ya kutafsiri Yamtoa Jasho Jamaa. Cheki hapa

    Ni kweli lakini hayaniusu ila uyu jamaa aliamua kuandika aya mavi akiwa amelewa ila na wewe ukitaka kujua haya ebu bust kidogo jamaa anaweza bana
  12. kifumue

    Sumbawanga na ulaji wa kitoweo cha panya(wild rat)

    Daaa jamaa yangu mbona tunakwazana nimemiss sana hii kitu mnafosi nichukue likizo sasa
  13. kifumue

    Ni Tanzania pekee.

    Musiangaike na uyu mtu kwasababu uyu anayeuza kitabu kidogo anaufahamu kwamba elimu Ni ufunguo wa maisha ,Sasa uyu jamaa anaokota vyupa hivyo ana future kweli uyu yaani aliyeandika hii story ,Sasa wee unabisha nini mi namfahamu bana izi sms anaindikiwa
  14. kifumue

    Kwanini watu wengi wenye vipara huwa wananyoa mara kwa mara?

    Pambafu zenu yaani ninyi mnajua vipara tu uko chini vibanda umiza eti Sasa mmeamua kusema napenda staili ya kuacha nywele kumbe viwembe chalii ebu acheni hii story
Back
Top Bottom