Umekunywa hata chai kweli wewe?? Mtu uko huko Tukuyu unajidai unajua siasa za meru, hujitambui, umekwishaa. Yani nawahurumieni Chadema. Naskia jana mbowe kawadanganya eti leo wanawaongezea burudani kwa kuleta chopa nyingine, yani watu wapo kw uchaguzi wao wanawasanifu angani?? si ubazazi huu...
Khs hapo snowcrest, amesema jaji lubuva mwenyewe alikuwepo na mpango uliopo ni kuwa wataiba masanduku ya kura yataibiwa na kupelekwa chuo cha ustawi wa jamii tengeru, CDTI, wakati huo watu watakuwa wanachezea kichapo kikali. ndani ya lisaa limoja masanduku mengine yaliyochakachuliwa yatakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.