Recent content by kifinga

  1. kifinga

    Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

    inaonesha kiasi gani hujui mambo ya system endelea kulima matikiti mkuu
  2. kifinga

    Nataka kujilipua na CARINA TI nisaidieni bei za yard Bongo

    ingia tu mkuu unakaa nyuma ya lori tu hadi unafika safari yako cha muhim kujiamini mfano mimi nilikua muoga kwenye mataa ile ikiwaka kijani basi nikiwa nyuma ya gari haina shida sema ikawa inatokea mimi ndio niko mbele naamua destiny ya wote walionyuma mwanzo ilikua ngumu badae nikazoea
  3. kifinga

    Nataka kujilipua na CARINA TI nisaidieni bei za yard Bongo

    kuwa makini tu na kuilaza sehem salama pia kama unapokaa kuna wizi sana funga GPS uwe una itrack kwenye simu gari ikiibiwa
  4. kifinga

    Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ila mbeya kiboko baridi kali sana
  5. kifinga

    Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    ndio uhamie kwenye asali njoo TRA mkuu siku hizi kuhama fasta tu hamna figisu
  6. kifinga

    Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

    katikati pazuri in jiwez voice au nasema uongooo ndugu zanguuu
  7. kifinga

    Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    siku nyingine serikali ifanye kwa siri haya mambo manake yameleta kelele sana watumishi tunaonekana matajilii
  8. kifinga

    Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    uza mitihani mkuu mbona simple tu
  9. kifinga

    Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    mkuu kwenye bajeti review kule mbele ndio zitachomekwa hizo da kweli kila mtanzania saizi analamba asali
Back
Top Bottom