Recent content by Kiebuta

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Aisee, asubuhi hii nmembana amekiri yupo kwenye dawa, ameanza kulia na kuniomba msamaha...naelekea hosp kuanza PEP mda huu, nadhan ntatumia hata miez miwili ili niwe na uhakika...Kwakifupi alipanga kuniangamiza huyu mtu.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sure bro, ntafanya hivyo
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nouma sana, hapa PEP inanihusu...hapa limeshasinzia nataman nimtimue mda huu
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wakuu leo hata usingizi sidhani kama ntapata, Nimekula dogo amewaka ( postive). Ni mda huyu dogo nilianza kula kimasihara tu baada ya yeye kuonesha shibo sababu mimi ni msimamizi wao kwenye kitengo chao...sasa kitu nilichokuwa nashangaa kama mara mbili nikimwambia tupime hataki anasema ajiandae...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ng'ombe wa maziwa Singida

    Habari za majukumu wanajamvi, Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba. Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo, Natanguliza shukrani.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Ndoto inayomtisha mke wangu kumbe inahusu familia yangu

    Amina
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Ndoto inayomtisha mke wangu kumbe inahusu familia yangu

    Sure, umakini unahitajika sana,
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Ndoto inayomtisha mke wangu kumbe inahusu familia yangu

    Mi nilikuwa nachukulia kawaida sana, sikuwa nawaza mambo tofauti...but nimejifunza sana
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Ndoto inayomtisha mke wangu kumbe inahusu familia yangu

    Ni kwel kabsa,
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Ndoto inayomtisha mke wangu kumbe inahusu familia yangu

    Ukweli hili limenifundisha sana, iwe kuna ukwel au hakuna ukweli, ila haitakiwi kusema kila kitu kwa wanaokuzunguka iwe ni mafanikio au vinginevyo maana huwezi kujua mapokeo.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Ndoto inayomtisha mke wangu kumbe inahusu familia yangu

    Wakuu habari za majukumu ya kulijenga taifa letu. Hivi karibuni nilipata kuhama sehemu niliyokuwa na kuhamia sehemu nyingine kikazi, na Mungu ni mwema nafasi (cheo) kilikuwa ni cha juu tofauti na awali na chenye masirahi zaidi. Sasa nmelipoti huku na kwakweli niliwajulisha ndugu zangu wa karibu...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mshahara wa mke huhusika kwenye matumizi mbalimbali ndani ya nyumba?

    Kwa upande wangu sina huo msamiati wa hela ya mwanamke, ninachotambua sababu anatumia muda wa familia kufanya kazi anachokipata ni lazima kijulikane kinatumika vipi hata kama ni kutuma nyumbani. Na pesa yangu vivyo hivyo, mambo yanaenda vizuri tu. Na siku akianza kuleta habari za kuficha, bhas...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Baada ya yeye kuja chuo tuliienjoy sana sababu tulikuwa majiran, kwa kifupi alikuwa analala kwangu, na nilimtambulisha kwa demu wangu ambaye sasa ni mke wangu (nimtambulisha kama shemu wangu demu wa rafiki angu). Ilikuwa akipiga simu mchumba wangu inabidi akae kimya kabsa ili tusijulikane...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Masihara yalinipa demu wa rafiki yangu. Kipindi tunamaliza kidato cha nne rafiki yangu alikuwa na demu wake akiwa kidato cha kwanza, tulifahamiana kihivyo... Tulipotezana kwa takribani miaka 3 na huyo shemeji yangu baada ya kwenda Advance na nilimalza na kujiunga chuo, pia rafiki yangu...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Baada ya binti kukataa kupima ndipo wazo la PEP likanijia ingawa tayar masaa yanayotakiwa yalikuwa yamepita. Hofu ilitawala sana, shida ya kujua vitu sijui ilikuwaje nikaanza kuziona zile dalili za mwanzo kabsa ambazo zinaweza kumpata mtu ( early infection) kichwa kilianza kuuma, nikapata mafua...
Back
Top Bottom