Recent content by kidumpure

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Mmebaki kuwa wana harakati ,chedema kama mnataka mkubalike na watanzania njooni na vision nini mnataka kuifanyia nchi mna vision ipi mkipewa nchi ,sasa nyie mkibanwa majibu yenu ni tunataka haki, je ni haki ipi mnayotaka hata hamuelezi , sasa tunajiuliza nini malengo yenu mnataka kuipa nchi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Pia kuna maraisi waliofia madarakani kwa sababu ya mageuzi waliyokua wanafanya mfano raisi Kennedy wa marekani aliuawa kwa kupigwa risasi raisi Abraham Lincoln aliuwawa akiwa madarakani hivyo kifo cha magu sio cha kwanza .chakujifunza ni kwamba ukiwa kiongozi ukataka kuleta mabadiriko flani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Waliobanwa kwa mambo mbalimbli ya uovu wameanza kutabiri na kuhusisha vitu vya uongo, naweza sema mzee alijitabiria kifo kwa sababu ya kubana wapiga dili, hivyo wapiga dili nao walitafuta njia ya kumwangusha mzee, nilichojifunza hapa duniani tunaishi kinafiki sana, umaweza tenda mema mengi...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Utasikia wanajikweza kua wao ni giant east Africa, uchumi wao upo juu, wapo smart kuchapa kazi kuliko east Africa nzima, hivi unashindana na mtu ambae alianza kujenga uchumi, uchumi ukaaribiwa, akaanza tena from zero to heroes, uchumi wa Tanzania ulipoharibiwa baada ya vita ya kagera wao walikua...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Ukiona mkenya anaichukia ccm , jua hicho chama ni tishio kwa uchumi wao, falsafa zake ni tishio kwao, anongea anawachukia ccm lakini hatoi sababu kwann anawachukia, chama hicho unachokinajisi ndicho kilichowakoa mlipo pigana na kufarakana, hicho chama kimejipanga tena kuwaunganisha tena election...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ufufuaji wa sekta ya uvuvi uende sambamba na ulinzi na usalama wa uvuvi haramu

    Utakuta umekopa benki umenunua machine zako za uvuvi, ukipeleka ziwani unawapelekea majambazi siku mbili wanachukua hivyo pakianzishwa jeshi la viumbe maji, wanakua wanafanya ulinzi na usalama katika maziwa yetu na bahari basi litakua jambo jema uvuvi haramu utakoma
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ufufuaji wa sekta ya uvuvi uende sambamba na ulinzi na usalama wa uvuvi haramu

    Kipindi cha korona wengi tulihuzunika sana mioyoni na kukata tamaa. Tulifika hatua ya kuhuzunika mioyoni tukisema kwanini nchi yetu anapotokea kiongozi mwenye maono mazuri hutokea tukio na kuharibu hayo maono, mfano mwalimu alipambana kuleta maendeleo lakini vita ya Uganda ikaharibu uchumi wetu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za watu weusi duniani ndio nchi masikini zaidi?

    Mengine in kweli waafrica tunahujumiana, mfano mzuli kwenye corona inshu ya kufungiana mipaka, lakini pia tuangalie hawa watu weupe wanashirikiana sana na pia taasisi kubwa za kifedha kama IFM na nyingine zinakua na ubaguzi flani kwa Africa, hutoa vikwazo vingi kwa Africa na muelekeo isiyo akisi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Whites are smarter than blacks

    Unajihumiza Burr kufikilia hivyo unavyofikilia, Africa imepiga hatua kubwa sana kwa muda mfupi, huwezi kujilinganisha na watu waliowahi kujielewa kabla yako kwa karne nyingi wanatengeneza uchumi wao miaka 1000 iliopita, lakini Afrika hata miaka 100 haijafika lakini imefika ilipofika ,hivyo...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan journalists Making it Big in International Media

    Ingekua media yenu ipo vizuli ,uchaguzi ukifika mnauana kama wanyama, kazi ya media ni kujenga sio kubomoa
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan journalists Making it Big in International Media

    Mimi so mwanahabali, lakini kama mwana habali kazi yake ni kubomoa basi taaluma hiyo haifai kabisa kwa binadam, lakini hao unaowapuuza ni watu wanaojenga utaifa wa nchi na kutoa elimu kubwa kwa mtanzania kujielewa , sio huko kwenu kila mtu yupo huru kuongea hata kama ni ujinga usiojenga...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan journalists Making it Big in International Media

    Sisi ni watu tunapenda ukweli na uwazi, hivyo akikosea akaenda kutumika vibaya na hao waliomwajiri basi lazima asemwe ili ajirekebishe aishi katika mila na desturi zetu, sio kwasababu anafanya kazi katika vituo vya kimataifa basis tumfagilie tu, hatupo hivyo, hatutaki sifa za kijinga.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan journalists Making it Big in International Media

    Wapo wengi tu aina ya akina salimu kikeke wanauwezo mkubwa kimataifa, kuhusu kufagilia chama wana akili sana kukifagilia chama ambacho ni mkombozi wa afrika nzima , Kenya ikivurugika hicho chama kinakua mstari wa mbele kuwaweka sawa kwa mustakabali wa maisha yenu ya Leo na kesho.Kenya ikianguka...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan journalists Making it Big in International Media

    Hiyo yote ni kwasababu ya kile tunaita used for. Watumikia white people hivyo hutoa sadaka kwenu ili muendelee kuwatumikia vizuli, jiulize mfano BBC Swahili mmejaa wakati kiswahili kibovu hata hamna ushindani na watanzania lakini ndo kile tunaita used for-------.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini waafrika matajiri walioko Marekani na Ulaya hawafanyi hivi?

    Utakuta matajiri weusi huko america wanawekeza kwenye magari ya kifahari, nyumba za kifahali pamoja na kuvaa cheni za dhahabu shingoni ,hawajui huku kwao Africa kuna fursa nyingi na endelevu.
Back
Top Bottom