Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,625
Huwa najiuliza. Kwann watu wenye pesa mfano wa sanii kama akina ludercriss, Tyresse, 50cent,yaani hao baadhi mbona huwa huwa hawaangaiki kuja nchi za afrika na kuanza kufanya uwekezaji kama wa dubai?
Maana unakuta mtu ana lets say networth ya $500 milioni. Hivi huyu mtu lets say akaja kama Tanzania tu hapa au lets say congo hapo. Akawekeza kwenye miundo mbinu na kilimo. Hivi baada ya miaka kadhaa si huu utajiri utadouble?
Maana naona waarabu wahindi wazungu wanawekeza kwenye jamii zao ila waafrika tu ndio wamekuwa slow na jamii yao.
Tazama mtu kama Akon, alikuja na dola milioni 200 tu akafanya project ya umeme na miundo mbinu. Na amecheki ameona kuwa afrika kuna potential kubwa sana ya kiuchumi kwa waafrika wengine.
Jamaa anaplan ya kuanzisha project kubwa ya mji kama kama ile miji ya utalii ya Dubai ambayo nadhani itakuwa pale Ghana kama sio Cameroon (sina uhakika) but jamaa ameona kuna potential na usingizi mkubwa sana kwa hawa viongozi wetu vilaza wanaokalia sound na uongo kupiga hela za kodi za masikini.
Jamaa idea yake ni nzuri sana na akifanikiwa anaweza anza kujenge afrika mpya. Tazama china wanakuja afrika wanaomba sehemu ya bahari wanaijaza mchanga wanajenga hoteli na wanaingiza mamilioni ya pesa. Sisi tumekaa tu hapa kazi kukamatana uchawi. Aiseee