Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,435
- 23,091
Hivi unataka kuniambia hujawahi kuona wafungwa 20 wakiwa na askari mmoja wa gereza?Acha hizo Azarel,cha moto noma.Kila Mara unafikiria risasi ya kwanza itakupata wewe.And then Azarel kwa sasa hatulingani,that we know kwa kuwa wamesha tu-manage.How nadhani ni somo lingine pana.Unakuta wazungu wawili walikuwa wanawakokota wafungwa 30 mpk 40
Hao wafungwa walishindwa hata kuwaloga au kuwapiga hata wakiuawa wawili kwa bunduki lakini hao wengine wangesurvive.
Hivi miaka yote na chuma zipo ardhini, tulishindwa hata kutengeneza bunduki ya kupambana na wazungu?
Halalu useme tunalingana na wazungu?
Nadhani jambo la msingi la kujiuliza ni kwa nini mababu zetu hawakutegemea wazungu na sisi tunategemea Wazungu,what has changed.That is common sense.Kama umesoma kidogo Azarel na ni mdadisi,it should be easy to know,wala huhitaji PhD to know what has changed.
Azarel we are so enslaved by using precise mind control techniques,brainwashing by the mainstream media,medication and and education kiasi kwamba most of us believe that whites are semi-gods.Dawa hizi hizi za hospitali wanazitumia kwa nia mbaya,kutufanya tuwe mazezeta na slaves,or as they call us zombies.Chanjo hizi hizi wanazitumia kutu enslave na kutufanya mazezeta.Planned Parenthood wanaitumia kutu-enslave na kutufanya tuwe mazezeta.
Azarel wana uwanda mpana sana wa kutufanya tuwe watumwa wao,vilaza na mazezeta.Through this kind of mismanagement over the years, they have managed to make us believe that they are superior,so anybody who comes with alternative truth is seen as a liar and denying the obvious truth.We should change our mindset and accept the actual truth,ingawa kwa kiwango walichofikia,it does not seem likely.
Hawa watu pia wamefamikiwa kufuta kabisa historia yetu, ili tusijue potential yetu,na wametuwekea msingi wa elimu mbovu ambayo haiwezi kutusaidia kwa lolote,may be as slaves.