Recent content by kidumbuyo piere

  1. K

    Mugabe awabwatukia wazungu

    Point of correction He does not say he would join the other angels. What he said was “Whatever support you want from me, I will still be there, until God says come, then I’ll go and join the others,” Mugabe said. “But as long as I am still alive, I will still have the punch.”
  2. K

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    uchaguzi wa Zanzibar ulifutwa kwa sheria ipi? jibu Kifungu cha 3 (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar 1984 kinasema: ?Kanuni, maelezo na matangazo yote ambayo tume ina mamlaka ya kutunga au kutoa, itajaaliwa kuwa yametungwa au yametolewa kisheria kama yametiwa sahihi na Mwenyekiti wa Tume au...
  3. K

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    kazi yao kukataa matokeo maana ndio utetezi wao, hapa kazi tuu mwaka huu lazima walale
  4. K

    Nyerere aliufahamu ubinafsi na uchoyo wa kusini {Mtwara na Lindi}

    hili swala la gesi limegeuzwa kisiasa lakini kwa tahtimini ya kiuchumi wa nchi nzima ujenzi wa mabomba kutandazwa nchi nzima ndio maamuzi muhimu. Serikali inaanza na dar.
  5. K

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Asante sana. Hisa ni nini haswa kwa defination? Maana mifano nimeelewa sasa maana yake kama hisa. Je ni sheria gani inayosimamia haya maswaha ya hisa?
  6. K

    Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    kweli kabisa huyo ajalima kitu maana anasema mara rafiki yake inaonyesha dhahiri huyu ni dalali tu.
  7. K

    Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    Hongera sana kwa taarifa. Swali langu ni kuhusu aina ya mchungwa, na jina lake kitaalamu? Je soko la haya machungwa baada ya kuvuna utauza wapi yote uweze maliza shambani bila kuharibika?
Back
Top Bottom