Mugabe awabwatukia wazungu

Mugabe awabwatukia wazungu

Nafkiri kunanamna nzuri zaidi ya kuhakikisha wazungu wanatuheshimu na kuacha kutunyonya! Ivi vijembe kwa mtu anayehangaika kulisha raia Wako nikama kupigania hawara mbele ya wakwe...
wakati anaongelea pua za wazungu,wazimbabwe wanasukumana wakiomba chakula toka usaid.
ukiwa vitani nilazma ujue target lasivyo unageuka kituko na mateka kabla hata hujapigana
 
Point of correction He does not say he would join the other angels. What he said was “Whatever support you want from me, I will still be there, until God says come, then I’ll go and join the others,” Mugabe said. “But as long as I am still alive, I will still have the punch.”
 
Back
Top Bottom