Mleta mada amejaa uccm si mzalendo wa tz ndo maana anaongea pumba cdm inajulikana kila mhl mpaka ikulu ya mtemi wako punguza uongo mm nimetoka huku jana tu nimejionea cdm inakubalika mno subiri 2015
kale kazee 6 kapumbavu katasababisha machafuko kwenye nchi hii wakawahi kukazimisha kama horace korimba kabla hakajaleta maafa makubwa kwa ajili ya kenyewe na magamba yake.
Diallo amekwisha asiwadanganye watu mwambieni aende kwao meatu pale luguru lo mbuga (lubiga)akampe huyo deus mallya powertila awe anaendesha maana wabunge anawaua kwa maslahi ya magamba
kwa kweli wasukuma bado sana ila wanahitaji elimu ya uraia kanda ya ziwa yote na 2015 napeleka jeshi la ukombozi kwa wasukuma wa nkololo dutwa kanadi itilima na ntuzu kwenda kuteketeza masalia ya ccm kama vile ndugu ngalyabuyenze na seni, njalu silanga na jopo lake lakini naamini wasukuma...
ukichanganyikiwa huwezi jua kama uko matokeo yake wale ambao hawako hivyo utawaona kama wamechanganyikiwa lkn sivyo ni ww ccm ipo cku watachia ngazi kwa uwezo wake mwenyezi mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.