Fact Bro nimekukubali na nimeelewa sana Point yako pia naungana nawe kuwa wakat mgumu ni fundisho katika maisha iwe mapenz, Pesa , na hata mengineyo hukomaza akili na kufanya uwe strong hivo usijutie sana kukutana na hiyo hali
Habar wana jf
Mimi nasumbiliwa sana na tatizo la kuumwa kichwa kwenye paji la uso maarufu kama KIPANDA USO ni tatizo linanisumbua miaka mingi sana karibia miaka saba had na sielew matibabu yake
Naomba msaada wa waliowah kukumbwa na wamepona walitumia njia gan?
Natanguliza Asante
Habar wana jf
Mimi kijana mwenye kiu ya kutaka kujua lugha ya kigen inayo trend dunian ( Kiingereza).
Kama headline inavosema naomba kujua RAS SIMBA kweli anajua kwa wale waliopita kwake na je unaweza jua kingereza kwa miez mitatu?
Msaada Tafadhar
Walio wengi wadads hulengesha mimba kwajili ya kumshika mwanaume ili ajikwamue na life wakat huo hana vigezo vya kuwa mke pengine jamaa alikuwa anapita tu ye analengesha sasa ili kuepuka lawama na kukimbia dam yake jamaa anaamua kukubali mtoto maisha yanaenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.