Hao wanawake used a.k.a mtumba nao wana soko lao. Ni kama nguo sokoni. Kuna mpya na mtumba, na kila furushi linawateja kibao. Jiulize, wanaume wangekuwa wanapata ujauzito kama wanawake ungekuwa ushazaa wangapi?
Maumbile ya mwanamke yanamfunga sana ndio maana jamii inawaona kama viumbe ambao...
Kaka...
Usilazimishie tabia amabzo sio za kwako. Utajuta zaidiii. Tulia kaka, hao unaowapata pengine si wa ubavu wako. Siku ukipata wa ubavu wako uatelewa namaanisha nini. Lakin pia angalia na aina ya wanawake unaowatongoza. Anagalia tabia na sio *sura*. Kinachijenga mahusianao na ndoa ni tabia...
Kama ameridhia kuondoka, hapo amekuchoka. Ila sula la kumwambia aondoke bado si suluisho poa. Bora myaongee kaka.
Kama hamsikilizani basi weka upande wa pili ambao ni wazazi au ndugu au wazee.
'Kumpenda mtu ni hatarishi' yaani 'taking a risk'. Pale unapopenda hadi mmnafanya maamuzi ya ndoa unakuwa umeamua kuchukua maisha hatarishi yaani ''risky life'
Hii ina maana kwamba chochote kinaweza tokea na lazima ukubali maana ni maiaha ya mapenzi amabayo ni risky. Sasa kwa suala lako...
Rekebisha kiswahili hapa:
Mkuu *huwezi kumpa mimba mwanamke*, ila anapata ujauzito. Unaposema hivyo inamaanisha kua wewe unauwezo wa kubeba huo ujauzoto lakini ukampatie yeye aubebe. Na kibaiolojia, wewe hutoi mimba, ila uantoa mbegu. Yeye ana mayai, kwa pamoja ndio vinategeneza mtoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.