Recent content by kidonto

  1. kidonto

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Uko Germany, usikute Dawa inauzwa $ 100 tu then unakuja kupiga kelele hapa....! Unataka hata sample ya Dawa ya Kienyeji, sample itatibu Nini...!? Kama sio mnataka kuingiza Maabara huo mchanganyiko kujua umehusisha Nini na Nini! Kubari pesa ikutoke usimamie hii deal, inaweza kukulipa baadaye...
  2. kidonto

    Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

    Ukitaka kujua ulikua ni Uvamizi ama sio......! Max atangaze kuachilia live CCTV Camera Watanzania waone ...! Then utaona Watu watavyohangaika.
  3. kidonto

    GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Kwa hiyo hakuwa na kitu tofauti Cha kuongea....!? Coz hata ningekua Mimi katika nafasi yake nisingeweza kumringanisha Nyerere na Kiongozi yoyote yule ama aliyekufa ama aliye hai ama atayekuja huko mbele.....! Hawa Viongozi wa Sasa wangekua kwenye Nafasi ya Nyerere, wengi wao wasinge...
  4. kidonto

    TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Binafsi nafahamu Nguvu ya Albadiri, nimekulia Uswahili, Kuna miaka ya Nyuma sehemu nilipokulia kulikua na Tajiri mmoja alikua akimiriki Canter kadhaa za Mchanga, miongoni wa Madereva wa Gari yake mmoja kulikua na Mzee mmoja akitoka mtaani kwangu kabisa. Yule Mzee alikua akipaki gari maeneo...
  5. kidonto

    Polepole: Nilinusurika kutekwa katika kipindi cha Magufuli

    Dahhh.....! Means CCM Mtandao ndiyo wanamiliki kikundi Cha Utekaji na mauaji!?
  6. kidonto

    Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Kwani hukumsikia siku ile anasema Simu Moja tu.....!!!? Kuna deal flani Mimi najua Bi. Mkubwa alikua anafanya, wakati akiwa no. 2..... Siku alipochukua Kiti, nikasema kharas....!!!!
  7. kidonto

    Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

    Haya Maneno ni ya mwaka Jana?
  8. kidonto

    Maaskofu na Watumishi wa Mungu acheni kuhubiri siasa kwenye nyumba za Mungu mnajitesa bure pia mnatupotezea muda wetu Bora tungekaa nyumbani tu

    Mkuu nisaidie na Mimi kujua....! mtu unafanya fanya vipi mpaka unakua na Roho ngumu kama Yako?
  9. kidonto

    Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

    Mimi nazungumzia uhaisia tu....! Tunafahamu Watoto wanaokufa Kwa njaa wanavyokua, ilitokea Kenya, Somali, Sudan n.k Ila nimeangaia hii picha iliyowekwa kwenye huu Uzi, Sijaona mtoto aliyekufa Kwa Njaa, ndiyo sababu nikaweka picha za Watoto waliokufa Kwa njaa Africa, na picha zao sio Siri zipo...
  10. kidonto

    Kitaalam, alichomaanisha Polepole ni hiki

    Maelezo Mujarabu....!
  11. kidonto

    Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

    Huyo Mtoto ndiyo unasema amekufa Kwa njaa....!? Kufa Kwa njaa unakujua ama unakusikia...! Umeingia kwenye Propaganda za Hamas, Dunia inajua Hamas inafanya Maigizo ndiyo maana ipo kimya. Kama hujui Watoto wanaokufa Kwa njaa ngoja nikuwekee Picha hafu linganisha na Picha za Watoto wa Gaza.
  12. kidonto

    GE2025 Usaliti mbaya: Kama si vyama shikizi kuchukua fomu za Urais , CCM isingeliendesha uchaguzi peke yake

    CCM imeandaa hivyo Vyama Kwa ajiri ya Hilo, kipindi hiki ndiyo hivyo Vyama vinapiga pesa Toka CCM. Hivyo Vyama hata hata visipofanya Uchaguzi wa ndani hakuna tatizo Uchaguzi Mkuu ukifika Vitashiriki Uchaguzi bila kelele Toka Tume.
  13. kidonto

    Sababu za Majini/Mapepo Mengi kutopatana na Nyama ya Nguruwe

    Hayo Mapepo na Majini yasiyo patana na Kitimoto ni Waislamu..... Bila kuzunguka.
  14. kidonto

    Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    CCM inamuiga Shetani jinsi anavyofanya mambo yake, Machoni inaonekana Ina malengo.... Nyuma ya Pazia sasa..... Ni Mungu tu anajua. Na Mazuzu ni wengi nchi hii.
Back
Top Bottom