Recent content by kidonse

  1. kidonse

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hujui tofauti ya demu na mpenzi hama duniani

    Mfyonzo wa mwendokasi
  2. kidonse

    JamiiForums Tanzania Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Unakatwa lakini huduma zinabaki palepale. Kama uliweka vocha ya 500 itakwatwa ila ukijiunga kifurushi cha hiyo 500. Inakubali wala haikatai
  3. kidonse

    JamiiForums Tanzania Men are cruel to single women

    Mi sijaelewa hata ulichoandika ila nahisi tu mchango wangu ni kwamba tatizo utakua umesoma sana na umesahau humu tupo walalahoi tu ambao tumeishia la saba. Kwa kiingereza hiki utakua single milele.
  4. kidonse

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje nimsahau?

    Sawa. Ushauri wangu pia UTAENDELEA.............!
  5. kidonse

    JamiiForums Tanzania Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

    Unataka ushauri gani wakati wakitaka hela unawapa. Huna bahati ya kuwapata una bahati ya kuhonga na kuingizwa mjini
  6. kidonse

    JamiiForums Tanzania Nyumba niliyopanga nahisi ina uongozi wa shetani

    Habari zenu, Kuna nyumba nimepanga maeneo ya kino tunaishi wapangaji sita wote wasela na mtoto wa mwenye nyumba wa saba amepewa chumba cha kuishi. Bahati mwenye nyumba hakai hapo. Kuna dada tunaishi nae amekua na tabia za kisagaji. Bahati nzuri ana mwanaume ambaye ni mstaarabu sana na mfanya...
  7. kidonse

    JamiiForums Tanzania Moyo umekuwa jiwe

    Hahahaaa hapana ndugu
  8. kidonse

    JamiiForums Tanzania Moyo umekuwa jiwe

    Nilimpenda sana nilimtunza kama almasi. Aliponikosea sikutaka kuuliza ila kukaa kimya sikupenda kumuudhi. Alipohitaji msaada nilikua karibu nae wala sikujali usaliti wake na siku zote niliamini ipo siku atabadilika na ndoto zangu za kuwa mume wake siku moja zitatimia. Bahati mbaya nafanya...
  9. kidonse

    JamiiForums Tanzania Jama hii inawezekana katika real life situation?

    Dah huo msamaha unawezekana kwenye movie tu. Sometym Ignorance is a choice
  10. kidonse

    JamiiForums Tanzania Movies zinazoelimisha kama vile 'why did i get married'?

    Ila friday ya Ice Cube Naona kama vile imezidi zote.
  11. kidonse

    JamiiForums Tanzania Movies zinazoelimisha kama vile 'why did i get married'?

    Mimi huwa natumia simu ku down load naombeni nipeni link nipatw zote hizi
  12. kidonse

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Wanaofunua wasichana na kuwaacha

    Shikamoo mfitinishaji
  13. kidonse

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Wanaofunua wasichana na kuwaacha

    Shikamooo mfitinishaji
  14. kidonse

    JamiiForums Tanzania Navutiwa na wanawake wanaovaa saa za mkononi

    Mimi mke wangu anapenda ya ukutani napenda sana
  15. kidonse

    JamiiForums Tanzania Nilitendwa, sasa siwezi kumpenda mwanamke yeyote!

    Kumbe tupo wengi daaaaaah
Back
Top Bottom