Recent content by kidolix18

  1. K

    Kivuko kipya cha Msangamkuu chawasili Mkoani Mtwara

    Kama kawa Serikali inatekeleza ahadi zake. wananchi wa Mtwara kwa hakika wamefurahi
  2. K

    Daraja la Maligisu-Kwimba

    Kazi nzuri iliyofanyika Wilayani Kwetu Kwimba ya Ujenzi wa Daraja hili zuri. Asante Serikali
  3. K

    Mnyonge mnyongeni lakini Haki yake Mpeni..Wizara ya Ujenzi inafanya kazi kweli si mchezo

    Nimekuwa nikifatilia kwa makini utendaji kazi wa Wizara mbalimbali katika Serikali hii ya Awamu ya nne nikagundua kitu kimoja. Moja kati ya Wizara inayofanya vizuri ni Wizara ya Ujenzi na kama wizara zote zingekua kama Ujenzi hakika tungepiga hatua kubwa kimaendeleo..Mfano Ujenzi wa barabara na...
  4. K

    Du Hivi ndani ya CCM nani anaweza kama huyu Dkt.Magufuli?????

    Mikutano yake hiyo nyomi sio ya kitoto huyu jamaa anastahili Credit..
  5. K

    Viongozi waandamizi wa ACT-Tanzania wapata ajali Morogoro

    Chama kinaibuka wakati wa Uchaguzi huuu si ujanja ujanja tu........kama kile kilichokuja na kupotea kama moto wa kifua
  6. K

    Most Peaceful Countries In The World

    1. Denmark 2. Norway 3. Singapore 4. Slovenia 5. Sweden 6. Iceland 7. Belgium 8. Czech Republic 9. Switzerland 10. Japan 11. Ireland 12. Finland 13. New Zealand 14. Canada 15. Austria 16. Bhutan 17. Australia 18. Portugal 19. Qatar 20. Mauritius Kwa mliofika na kuishi huko je...
  7. K

    Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

    WW ulikuwa huko ukatoka kwasababu unazozijua ww sasa leo hii unafatilia mambo yasio kuhusu why????????:A S-key::A S-key:
  8. K

    ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

    Hongereni ila mtujuze target yenu ni nn haswa???? na mtatukomboaje ss makabwela:high5::fencing:
  9. K

    UKAWA wamdhalilisha Paul Makonda

    :der: safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaa
  10. K

    Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Mtoa post inaonyesha uko deep sana na Wanaosajili Makandarasi ni CRB je wameshachukua hatua????? maana makandarasi kama hawa wanatakiwa wanyongwe
  11. K

    Jerry Slaa: Meya wa mfano Afrika nzima

    Ilala mbona inanuka sana:der:
  12. K

    Makinda amwambia Machali ana laana, naye amwambia Makinda ni dikteta!

    Bunge letu lina matatizo sana sijui leo hii angekuwa Speaker mzee Sitta ingekuaje??????:israel:
Back
Top Bottom