Muhongo alishasema yote kuhusu mbunge wa eneo hilo. Wanamererani wanatakiwa sasa kuhakikisha wanafanya kweli 2015. Sehemu ya barabara hii ipo mkoa wa Manyara na sehemu nyingine ipo mkoa wa Arusha. Hivyo wabunge wahusika wote wanatakiwa kulivalia njuga swala hili na maelezo ya kina yatolewe bungeni. Nadhani Nasari na Sendeka wafanyie kazi hili swali kwa pamoja kwa maslahi mapana. Bunge lijalo litaanza mwezi wa saba. Hivyo wawahishe swala la kizushi kuulizia ni lini ujenzi wa hiyo barabara utaanza na kuisha. Then kwenye maswali ya nyongeza ndo wamwage nondo kali na kuomba uchunguzi wa kina ufanyike. Wanawezavhata kuloby wabunge wenzao wenye uchungu na fedha za umma kuongezea nguvu