Recent content by Kidevu 1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Matabaka ya watumishi

    Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma? Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi taasisi ya elimu (Chuo) kutoa gawio kwa Serikali

    IFM ni chuo cha serikali ambapo mishahara yote ya watumishi inalipwa na serikali ila inakusanya ada kwa wanafunzi. Idadi ya wanafunzi kuanzia certificate hadi ngazi ya masters hawapungui 5000. Kila mwanafunzi akitoa ada ya milioni moja tu kwa mwaka nje ya hostel ni hela nyingi sana. toa matumizi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakati watumishi wa Kisarawe walio ajiriwa kuanzia mwaka 2012 hawajawahi kupanda madaraja lakini Mbeya Jiji wamepanda wote hadi wa mwaka 2013.

    Kuna wilaya moja watu wana barua tangia2018 lakini mshahara haujabadilika hadi leo. Wakaamua kwenda wenyewe dodoma. Kila aliyeenda dodoma mshahara ulibadilika mwezi uliofuata na ambaye hakwenda hadi leo anasota na barua yake. Nenda Dodoma mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwezi na wiki 3 sasa tangia niombe umeme TANESCO na ili umeme ufike kwangu nahitaji nguzo moja

    Sababu zao ni hizo hizo uhaba wa nguzo au mita
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwezi na wiki 3 sasa tangia niombe umeme TANESCO na ili umeme ufike kwangu nahitaji nguzo moja

    Mwezi na wiki 3 sasa tangia niombe umeme TANESCO na ili umeme ufike kwangu nahitaji nguzo moja. Muda unaenda na hakuna kinachoendelea. Wako wanaosema nitoe kitu kidogo ili niungiwe umeme ndani ya wiki 2. Je hicho kitu kidogo nimpe nani? Je nikitoa kitu kidogo kuna uhakika nitaungiwa umeme ndani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira mmekubali kuwa loop hole ya urasimu wa ajira?

    N Naomba kuzifahamu hizo big 4 proffessional firms kwa tanzania
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iliahidi umeme MW 5000 kufikia mwaka 2020, bado miezi 10 umeme haujafika hata MW 1700.

    Hamna kitu hapo kama gesi ya mtwara tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je itawezekana ?

    Ha Hapa sio private na government bali ni TAMISEMI na Mashirika ya umma.Mfano Mwanasheria wa halmashauri na mwanasheria wa TANROAD
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa DSFA na wenyeviti wa bodi za TALIRI na GST.

    Hizi Hizi taasisi huwa zinatangaza wapi ajira zao ? Mbona sijawahi kuzisikia
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je itawezekana ?

    True
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je itawezekana ?

    Wataendelea kuhadaa watumishi hadi lini ?
Back
Top Bottom